James Bond: Ipi Ilikuwa Kali Zaidi Kwako?

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,312
James Bond: Movie Series Zenye Ubunifu wa Hali ya Juu, Ipi Ilikuwa Kali Zaidi Kwako?

Huu ni mkusanyiko wa movie series zilioanza kuigizwa zamani sana tangu mwaka 1962, kila movie ina jina lake lakini zimekuwa zikifahamika zaidi kwa jina la James Bond kwani ndio jina la main character wa hizo movies.

Umaarufu wa hizi movie pia umesababishwa na ubunifu wa hali ya juu na missions zenye akili sana zilizo ndani ya hizo movies.
Je umefanikiwa kuangalia ngapi na ipi ndio ilikuw kali zaidi kwako?

1. 1962 - Dr. No

2. 1963 - From Russia with Love

3. 1964 - Goldfinger

4. 1965 - Thunderball

5. 1967 - You Only Live Twice

6. 1969 - On Her Majesty's Secret Service

7. 1971 - Diamonds Are Forever

8. 1973 - Live and Let Die

9. 1974 - The Man with the Golden Gun

10. 1977 - The Spy Who Loved Me

11. 1979 - Moonraker

12. 1981 - For Your Eyes Only

13. 1983 - Octopussy

14. 1983 - Never Say Never Again

15. 1985 - A View to a Kill

16. 1987 - The Living Daylights

17. 1989 - Licence to Kill

18. 1995 - Golden Eye

19. 1997 - Tomorrow Never Dies

20. 1999 - The World Is Not Enough

21. 2002 - Die Another Day

22. 2006 - Casino Royale

23. 2008 - Quantum of Solace

24. 2012 - Skyfall

25. 2015 - Spectre
 
huyo namba 20. 1999 the world is not enough ndio the best
 
M nimeona username yako sijakumbuka za jamesbond nimekumbuka za Colin Firth, Kingsman secret service na Kingsman Golden circle, bonge za movie, za jamesbond skyfall n kwikwi
Uko vzr mkuu, Kingsman ni kwikwi nadhani hata James Bond znakaa chini
 
Uko vzr mkuu, Kingsman ni kwikwi nadhani hata James Bond znakaa chini
Back from Russia with love bonge la move, kuna mwamama analafudhi ya kirusi sichoki kuiangalia, zamani waigizaji wenye vipaji walikuepo ckuhizi wamebaki wafanyabiashara na cyo watoa burdani, computer imeingilia kila kitu, move hazina tena mvuto
 
Ni vigumu kuchagua.

Movies za zamani nzuri sana. Nyingine nimeangalia kitambo sikumbuki vizuri. Ingawa nina Bluray set ya movies zote za James Bond kila mara nasema nitaziangalia.

Lakini sipati muda (kuna nyingine zaidi ya 10,000 zinaningoja)

Ila za hivi karibuni, personally, Skyfall niliikubali sana.
 
Ni vigumu kuchagua.

Movies za zamani nzuri sana. Nyingine nimeangalia kitambo sikumbuki vizuri. Ingawa nina Bluray set ya movies zote za James Bond kila mara nasema nitaziangalia.

Lakini sioati muda (kuna nyingine zaidi ya 10,000 zinaningoja)

Ila za hivi karibuni, personally, Skyfall niliikubali sana.
nisaidie mkuu, nami nazipenda za james bond, je nitazipata vipi?
 
Back
Top Bottom