C Colea911 Member Joined Jul 20, 2014 Posts 24 Reaction score 5 May 15, 2015 #1 Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 May 15, 2015 #2 Kusepa maana yake ni kuondoka ni neno la Wabongo tu linatumika Bongo tu ukilisikia nchi nyingine basi lazima watakuwa ni wabongo na kama si Wabongo basi hao wanaolitumia watakuwa wameliazima toka Bongo. Colea911 said: Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kusepa maana yake ni kuondoka ni neno la Wabongo tu linatumika Bongo tu ukilisikia nchi nyingine basi lazima watakuwa ni wabongo na kama si Wabongo basi hao wanaolitumia watakuwa wameliazima toka Bongo. Colea911 said: Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni Click to expand...
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 May 15, 2015 #3 Colea911 said: Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni Click to expand... Tanzania tu..
Colea911 said: Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni Click to expand... Tanzania tu..
M Mzee Wa Chuga Senior Member Joined May 15, 2015 Posts 175 Reaction score 30 May 21, 2015 #4 Tanzania tu
Jumbe Kondo Senior Member Joined Oct 18, 2011 Posts 109 Reaction score 68 May 23, 2015 #5 Kenya wanasema ku-hepa Kutoroka