JamboNetwork ya vamiwa

JamboNetwork ya vamiwa

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
attachment.php
attachment.php

Website nyingi za tanzania zimekubwa na mikasa mingi sana ya kuvamiwa na virus, zikiwemo za mawizara mbali mbali... hii ina ashiria nini?
 

Attachments

  • JN2.JPG
    JN2.JPG
    53.4 KB · Views: 58
  • JN2 (Small).JPG
    JN2 (Small).JPG
    28.6 KB · Views: 154
  • JN (Small).JPG
    JN (Small).JPG
    17.4 KB · Views: 47
  • jn2 (Small).JPG
    jn2 (Small).JPG
    31 KB · Views: 254
Haijavamiwa, ina matangazo ya Google ambayo yana uchafu; tunayaondoa sasa hivi... Only some minutes please
 
Nakumbuka kipindi hichi nilipokuwa nataka kusikiliza Music Jambo nikakutana na kisanga hichi nikaingia humu kama guest as usual nikijua jamaa wanarekebisha lakini haikuwahi kufunguka tena zaidi ya link moja ya kwenda moja kwa moja jambochat na kle wat wachache hata miss jambo nae alikimbia oi

Invisble tuwekeeni basi jambochat humu jamii na music pia msisahau
 
Back
Top Bottom