majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
- Kaka maneno yako yanajisema wazi kwamba una agenda yako ya siri dhidi ya Jambo leo unasema Tanzania Daima halikukeri kabisa na wewe unajua sheria za uandishi ila unakerwa na Jambo Leo ambalo linaweka mambo yote wazi na kuachia wananchi kufanya uamuzi?
- Kaka agenda yako nzito sana maana maneno uliyoyatumia ni mazito sana una agenda gani kaka?
Le Mutuz
Waambie waanze sasa mburula wewe,ushajitabanaisha wewe upo upande upi na ndo maana na sisi tunajitabainisha tunaitetea Tz kwa uwezo wetu wote.Jiulize waliokuwa mstari wa mbele kwenye hyo vita ni wa akina na mpka tukawapoteza wapendwa wetu.Ungekuwa karibu yngu ningekufumua bonge la ngumi la chembe.
Hivi ni kwanini Tanzania tunaleta chokochoko kwa Rwanda? Ushauri alioutoa Rais Kikwete kwa Rais Kagame ulikataliwa kwa kuwa haukuwa na mashiko. Sasa kwa nini mnalazimisha mtu akubaliane na "ushauri"?? Mjiulize silaha wanazotumia FDLR zinatoka wapi na kupitia bandari gani? Hivi mnataka Kagame akae anawachekea tu wakati mko pamoja na waasi wanaotaka kuipindua serikali halali ya Rwanda? Je, ni kweli ama si kweli kuwa Twagiramungu and other genocidaires walikuwa hosted na serikali ya Tanzania? Hapa tuache hisia, tujadili masuala kama wasomi. Patriotism does not mean you blindly defend the indefensible.
Mtu akihoji huu ushirika na wahutu wenye mrengo mkali, mnamuita M-tutsi hata akiwa mkurya kama mimi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ana kila haki ya kutetea na kuilinda nchi yake dhidi ya wauaji ambao mpaka leo wanaona mauaji waliyoyatekeleza yalikuwa halali na bado wangali na mpango wa kuwamaliza watutsi wote na wahutu waliostaarabika. Tanzania has no business propping up the DRC and their FDLR genocidaire surrogates. Nauliza mandate ya MONUSCO kushambulia waasi wa FDLR itatekelezwa lini? Mlikuwa wepesi kushambulia majeshi disciplined ya M23 ambayo yalikuwa yakilinda raia na minorities in Eastern DRC against pillaging, rapes, looting and murders in the hands of the ragtag FARDC. Kuna makundi zaidi ya 17 Eastern DRC ila mkaona ni M23 tu wa kushambulia. Mbona hao wengine hasa hasa FDLR hamuwashambulii? Acheni unafiki, nia yenu ni kumpindua Rais Kagame ili muwaweke wauaji wa FDLR madarakani.
..."Tunabaki...."Twendeni...Tu one"......unataka kujifanya Mzalendo wa Tanzania na wewe??.. ungesema "Mnabaki......"Nendeni......." Muone"....!....Sisi hatujasema twataka vita, nyie ndio mlianzisha chokochoko zote hizi kwa sababu mna hamu na damu za watu. Damu mnazomwaga huko DRC haziwatoshi tu?!Sasa mbona Tunabaki tu Kutishia Nyau? Twendeni Kigali Tuone Balaa Lake.
Tukishampindua huyo Kagame, faida ya Tz ni nini kwenye hayo mapinduzi?Je Kigali ina ushawishi gani Dar,mpka Dar wawe na jambo hilo lakumtoa huyo jamaa.
..and you call yourself a Kurya!...I bet you are a tutsi, because you all have wore the tribal names of Tanzania like Ha, Hangaza etc.... and if you are truly a Tanzanian, then you don't what really is going on in the Great Lakes Region!....Hivi ni kwanini Tanzania tunaleta chokochoko kwa Rwanda? Ushauri alioutoa Rais Kikwete kwa Rais Kagame ulikataliwa kwa kuwa haukuwa na mashiko. Sasa kwa nini mnalazimisha mtu akubaliane na "ushauri"?? Mjiulize silaha wanazotumia FDLR zinatoka wapi na kupitia bandari gani? Hivi mnataka Kagame akae anawachekea tu wakati mko pamoja na waasi wanaotaka kuipindua serikali halali ya Rwanda? Je, ni kweli ama si kweli kuwa Twagiramungu and other genocidaires walikuwa hosted na serikali ya Tanzania? Hapa tuache hisia, tujadili masuala kama wasomi. Patriotism does not mean you blindly defend the indefensible.
Mtu akihoji huu ushirika na wahutu wenye mrengo mkali, mnamuita M-tutsi hata akiwa mkurya kama mimi. Ukweli utabaki pale pale kuwa Rais Kagame ana kila haki ya kutetea na kuilinda nchi yake dhidi ya wauaji ambao mpaka leo wanaona mauaji waliyoyatekeleza yalikuwa halali na bado wangali na mpango wa kuwamaliza watutsi wote na wahutu waliostaarabika. Tanzania has no business propping up the DRC and their FDLR genocidaire surrogates. Nauliza mandate ya MONUSCO kushambulia waasi wa FDLR itatekelezwa lini? Mlikuwa wepesi kushambulia majeshi disciplined ya M23 ambayo yalikuwa yakilinda raia na minorities in Eastern DRC against pillaging, rapes, looting and murders in the hands of the ragtag FARDC. Kuna makundi zaidi ya 17 Eastern DRC ila mkaona ni M23 tu wa kushambulia. Mbona hao wengine hasa hasa FDLR hamuwashambulii? Acheni unafiki, nia yenu ni kumpindua Rais Kagame ili muwaweke wauaji wa FDLR madarakani.
Sasa wewe naona itabidi uvisaidie vyombo husika vya hapa nchini kutoa ushahidi kama hao akina Twagiramungu na Rudasingwa walikaribishwa hapa nchini kwa malengo gani? Kwanza itabidi ujibu ni wapi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ILIILAZIMISHA rwanda kukaa na hao FDRL zaidi ya kupewa tu ushauri? Na pili itabidi ujibu ni wapi Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania imeingilia mambo ya ndani ya Rwanda? Nyie watutsi mwaka huu mtaijua Tanzania vizuri; NEVER THINK YOUR DREAMS OF EXPANSIONISM WILL COME TRUE TO TANZANIA as you are doing in DRC!... kwa sababu hizo chokochoko zote ni ili mwisho mvamie mikoa mnayopakana nayo kwa kisingizio cha "kuwatetea minorities" kisingizio mnachotumia huko DRC ili mchukue upande wa Mashariki wa nchi hiyo!....GREEDY and BLOOD THIRSTY ETHNIC GROUP, tutsis!Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.
We ni mgeni Tanzania wewe, machafuko yanayotokea/yatakayotokea Rwanda, Congo, Burundi, Kenya, Uganda, Malawi, Zambia na Msumbuji ni shida kwetu Tanzania; Inawezekana tukawa hatufanyi nao biashara (hasa Bandari yetu ya Dar) lakini mzigo wa wakimbizi toka kwenye hizo nchi atakaye beba ni Tanzania, utake usitake. Kikwete alitoa ushauri ule and to me, he was right, tumekua tunajikuta tunabeba mizigo isiyotuhusu hata kidogo na kusema ukweli, bado sijaona watu wasiokua na shukurani kama Watutsi, msaada wote tuliowafanyia still wanatudharau, watu wa Kigoma wanawakumbuka vizuri sana hawa watu.Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.
..and you call yourself a Kurya!...I bet you are a tutsi, because you all have wore the tribal names of Tanzania like Ha, Hangaza etc.... and if you are truly a Tanzanian, then you don't what really is going on in the Great Lakes Region!....
Mkuu Robert, hilo ndio swali la kujiuliza? Ni kwa nini Tanzania ishikie bango masuala ya ndani ya Rwanda? Kwa nini tulazimishe Rwanda ikubali ushauri wa kukaa meza moja kwa serikali ya Rwanda na waasi wa FDLR? Kwa nini Tanzania iwakirimu Twagiramungu, FDLR na kina Rudasingwa? Maswali ya msingi.