Jamboleo na Kagame kuna nini?

Hawa jamaa wanaoliponda gazet la JAMBOLEO watakuwa si watanzania bali wanyarwanda. Naomba OPERESHEN KIMBUNGA irudi haraka sana ili iondoe hii takataka iliyobaki.
Tena ikirudi ianzine Dar es Salaam kabisa; na Arusha na Mwanza!..wapo watutsi wengi wamejificha kwenye Taasisi zetu kubwa hao ndio huenda wanatoa habari kwa wenzao huko rwanda.
 
Tena ikirudi ianzine Dar es Salaam kabisa; na Arusha na Mwanza!..wapo watutsi wengi wamejificha kwenye Taasisi zetu kubwa hao ndio huenda wanatoa habari kwa wenzao huko rwanda.

Waache tu, tunawajua sana. Tumeamua sasa hata wakitaka tuchalulane kwa kinyarwanda tutachalulana tu, huyo PaKa lazma tumfurumushe na akifa siwezi kulia na akifa maiti yake tunaitupa ziwa Kivu.
 
GENTAMYCINE Mkuu makala za Jambo Leo ni a direct result ya lile gazeti la serikali ya Rwanda lililo andika mambo sawa kabisa na hayo ya Jambo Leo.

Sikukuona ukiwa mkali katika makala zile za gazeti la Rwanda, vipi leo ndio unongea juu ya stupidity, wakati stupidity hiyo imeanzia Kigali.
Mind you nafikiri gazeti la Jambo Leo vile vile ni la serikali, kwa hiyo akili mukichwa!!
 
Last edited by a moderator:
....Ndugu Masopakyindi, nadhani huyu ni mmoja ya watutsi waliojaa hapa nchini anajaribu kumtetea "boss" yao PaKa. Tulikaa nao kwa amani tukizani ni wenzetu lakini sasa weshaanza kuonyesha rangi zao halisi. NI vyema ku-deal na hili tatizo kabla hawajatufanyia kama wanavyowafanyia Wakongo huko Mashariki ya DRC na jinsi walivyowafanyoa Waganda ambao mpaka sasa wanatawaliwa na watutsi!....Serikali ianzie kwenye Taasisi zake na kwenye vyama vya siasa na huko Bungeni. Kama mnakumbuka aliyekuwa Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi kwa mfano ni mtutsi (anaitwa Mugisha Ruhuza). Wapo wabunge pia ambao ni watutsi, ndio maana huenda PaKa anajidai kwa sababu inawezekana anapata habari zote za nchi yetu kupitia watu hawa!...
 

Kabla Ya Kunihisi Mimi ni Mnyarwanda na Mtutsi Nadhani Ungeanza Kwanza Kumshutumu Baba Wa Taifa Wako ambaye Amekuletea Uhuru na Kukufanya Leo Uwe Hivyo Ulivyo ambae hata Yeye Pia Mlimuhisi Kuwa ni Mnyarwanda na Mtutsi. Watanzania Acheni Uwoga hakuna Mwenye Uhalali wa Nchi Hii Isipokuwa Wagogo tu Peke Yao. Ukitaka Nikupe Historia Ya Makabila Yote Niambie au Pitia Upya baadhi Ya Post Zangu Kuna Siku Niliziandika. Kifupi Mimi Siyo Mtanzania au Mnyarwanda bali Mimi ni Mwana Afrika na Afrika Yote ni Moja na Hii Mipaka Iliwekwa tu na Wakoloni Kwa Gharama Ya Ignorance Ya Baba Zetu na Chiefs. Najua Jambo Leo na Jamhuri Ambayo hata Leo Pia Imekuja Na Habari Ya Kichochezi Yanamilikiwa na Mwana hivyo Anatekeleza tu Maslahi Ya Mzee Mzima Kwa Agenda Yao Binafsi Ambayo Nina Imani Hawatafanikiwa na Hata Wakifanikiwa Tanzania Hatuna Uwezo Wa Kupambana Kijeshi na Kivita na RPF na Msijidanganye Kuwa Jeshi Letu Ndilo Limewaondoa M23 DRC bali Ni Mjumuisho tu Wa Majeshi Ya Kigeni Ya South Africa, Malawi na Tanzania na Cha Kushangaza Sijaona Malawi au Afrika Ya Kusini Wakijisifu na Sisi Kinachotusumbua ni Ushamba, Ujinga na Ulimbukeni wa Kujua Mambo Unaosababishwa na Uwezo Mdogo wa Akili Unaozidi hata Kidonge Cha Piriton................! Narudia Tena Kwa Kujiamini Tanzania hata Battle Strength Ya Kupambana Na Rwanda Ya Sasa Ninayoijua na Tuthubutu halafu Tuone Kiama Chetu. Tujenge Nchi na Uchumi Wetu Jamani Kwani Wenzetu na Haswa Majirani Wanatucheka na Tunadharaurika Mno na Tuache Politics ktk Sensitive Issues.
 
Huna sera unatupotezea muda.....what is Rwanda by the way. Is it where the idiotic president reign?......Go away you bus......d
 

Waambie waanze sasa mburula wewe,ushajitabanaisha wewe upo upande upi na ndo maana na sisi tunajitabainisha tunaitetea Tz kwa uwezo wetu wote.Jiulize waliokuwa mstari wa mbele kwenye hyo vita ni wa akina na mpka tukawapoteza wapendwa wetu.Ungekuwa karibu yngu ningekufumua bonge la ngumi la chembe.
 

Amahoro...................!
 
GENTAMYCINE - Kaka maneno yako yanajisema wazi kwamba una agenda yako ya siri dhidi ya Jambo leo unasema Tanzania Daima halikukeri kabisa na wewe unajua sheria za uandishi ila unakerwa na Jambo Leo ambalo linaweka mambo yote wazi na kuachia wananchi kufanya uamuzi?

- Kaka agenda yako nzito sana maana maneno uliyoyatumia ni mazito sana una agenda gani kaka?

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na wewe mkuu, katika ku deal na PaKa hakuna velvet glove, iwe ngumi kavu kavu!
Hapo at least wataelewa kuwa tuko serious.
 
Ukweli ni kwamba nasikitishwa sana na habari za kuchochea raia ama majeshi ya Rwanda na Tanzania. Eleweni Rwanda siyo Kagame na wala Tanzania siyo Kikwete, ni zaidi ya hapo. Gazeti hili la Jambo Leo linamilikiwa na Ridhiwani, Malegesi wa EPA na Mkurugenzi ni Juma Pinto. Wakati tunalalamikia gazeti la Rwanda kwamba ni la serikali na hivyo kinachoandikwa ni kauli ya serikali hiyo, Je, na Rwanda wakidai gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na mtoto wa Kikwete kwa hiyo linachoandika linakuwa limetumwa na Kikwete, mtasemaje? Wote Rwanda na Tanzania wametumia vyombo vya habari vibaya na vinaweza kutupeleka vitani. Ujinga mtupu. Hotuba ya Mwl Nyerere aliyotoa mwaka 1964 anasema" hakuna kazi nyepesi na rahisi duniani kama kuchochea chuki ama watu kufanya uhalifu." Kuandika habari za kuchochea vita, si uzalendo ni uchochezi wa wazi kabisa. This is purely irresponsible journalism!!! MCT mko wapi?
 

kagame ni zaidi ya shetani maovu yake yanajulikana hata yasipoandikwa na gazeti lolote
 
Mkuu Le Mutuz, huyo genocidere, hawana ajenda nyingine hao, ni ugomvi tu.
PaKa kimemkera kwa kupigwa check mate huko Goma.
 

Maneno matupu hayavunji mfupa. Why do we have to match what News Rwanda does? I thought we are people of actions and not many empty words! PK akiendeleZA HADITHI ZAKE tutafute permanent solution na sio kujaza kurasa za magazeti.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa. Why do we have to match what News Rwanda does? I thought we are people of actions and not many empty words! PK akiendeleZA HADITHI ZAKE tutafute permanent solution na sio kujaza kurasa za magazeti.

tunamlia huyu mhuni timing , siku zake zinaelekea ukingoni!
 
Sasa mbona Tunabaki tu Kutishia Nyau? Twendeni Kigali Tuone Balaa Lake.

Kwahyo unavyohisi vita ni sawa kukurupuka kwenye fumanizi tu na kukimbia la hasha na hatuitaji hata kuja huko Kigali huko watatoana wenyewe. Sisi kazi yetu ni kulinda jirani yetu na waasi,kuwalinda jirani zetu kumetufanya tuwe adui huko Kigali.Huko kwenu Kigali mtatoana wenyewe hatuhitaji hata kupeleka mgambo wa manispaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…