Jambo wanalo kubaliana CCM na CHADEMA!

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564


Jambo ambalo CCM na CHADEMA kimsingi wanakubaliana ni kuwa Magamba yapo na sharti yavuliwe vyma vyote vinakiri hili suala. Muda wote napata taabu sana kwa nini CCM hawajawavua magamba hawa watu hadi sasa ?

ona wanavyo wabembeleza kwa gharama za T- shirts
 
Mkuu ccm hawana ubavu wa kumgusa lowassa au chenge wewe unataka uwadanganye wafutike kwenye medani ya siasa na hata kaburi Lao lisionekane?
 
CCM inapocheza mziki huo ni Kama Kobe anapojiambia ' we Gamba nitoke!!' of which yeye Na gamba lake wamegandamana..

But Kwa tafsiri ya ndani ya viongozi wa CCM, wanamaanisha ''WANANCHI MAGAMBA TUNAYO HATUWEZI KUJITOA EMBU MTUSAIDIE KUTUONDOLEA'' wakimaanisha wananchi waing'oe serikali ya CCM, Na CCM yenyewe..
 
ila nachojua ccm si kwamba wanakubaliana na gwanda ila wamedandia hoja wasiyoijua na hii ni kujiua kisiasa

umeshawahi kusikia chombo kimoja cha habari kunakitaja kingine kwa jina??
 

Ningekugongea LIKE lakini siioni.Nimeipenda hii
 
Mkiambiwa CHADEMA kazi yao ni kurukia hoja za CCM huwa hamtaki, hoja ya kuvuwa gamba ni ya CCM, magwanda ya khaki wakairukia, hawana ubunifu hata chembe.
 
Mkiambiwa chadema kazi yao ni kurukia hoja za CCM huwa hamtaki, hoja ya kuvuwa gamba ni ya CCM, magwanda ya khaki wakairukia, hawana ubunifu hata chembe.

mkuu jaribu kufikiri upya kwa ulicho kisema maana hata mtoto anatambua ukweli ni upi.
 
Mkuu umenena vema, kwa tafsiri isiyo rasmi magamba ni wezi wa mali ya umma, mafisadi, wala rushwa & na wote hawa wapo ndani ya CCM kuanzia shina hadi taifa

wakuu wanawafahamu hata kwa majina, sasa kwa nini wasichue uamuzi mgumu kama NCCR dhidi ya David hata kama walimuonea lakini walionyesha kuwa hawajali.
 
Acheni ushabiki CCM wanabadilika. Hivi unadhani CHADEMA hawana magamba? Wewe ukiwanje hujui tu. Na kuvua magamba sio kufanya wewe unavyotaka. "KAMA WEWE NI MKRISTO:- TESU ALISEMA YAACHENI MAGUGU YAMEE NA NGANO"
Hii inamanisha ukiyang'oa hayo magugu kwa wakati huu yatatoka na ngano. Na mwisho wake utapata hasara. CCM nahisi wako makini. Si kama vyama vingine wanakurupuka kuyatoa magamba. Unatakiwa uwe makini sana katika swala hili.
 

Na huyo TESU yuko chama gani tena?
 
Actions always speaks louder than words, lakini ccm wameshindwa kutekeleza uvuaji gamba kwa vitendo. they just copy from CHADEMA and paste
 

that's true
 

Mkuu Tesu ninani?ni hapo ndani ya ccm wakiwang'oa hao ambao tunawaona ni mafsadi watajiaribia manake wote ni mafsadi kwa hiyo wanaogopa kutajwa na hao watakaong'olewa.
 
Mkuu TESU ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…