TBC kwa kweli huyu jamaa Raymond kiongozi wa dini za asili analizungumzia vema sana hiili swala, anasema haya yote yamelelewa na serikali kwa kuruhusu mihadhara ambayo ndiyo imewajenga na kujenga ujasiri coz serikali haikuwakemea. Na kama utaratibu wa kuchinja ulikuwa au haukutiliwa maanani, sasa wakristo wamashajua kuwa ni ibada sasa hawawezi kuendelea kuabudu ibada ya kiislam, sasa serikali ipitie upya na kufanya maamuzi mapya ili kujenga amani. Ameshauri kuundwe baraza ya usuluhishi wa maswala ya kidini kuanzia kijiji hadi taifa.
Amesema kipo kifungu kwenye quran ambacho kinamruhusu mwislam kula nyama aliyochinja mkristo, ambapo wao wanasema labda awe padre, amesema mengi. Kwa ufupi nampongeza sana amejitahidi sana kujenga hoja.
Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:TBC kwa kweli huyu jamaa Raymond kiongozi wa dini za asili analizungumzia vema sana hiili swala, anasema haya yote yamelelewa na serikali kwa kuruhusu mihadhara ambayo ndiyo imewajenga na kujenga ujasiri coz serikali haikuwakemea. Na kama utaratibu wa kuchinja ulikuwa au haukutiliwa maanani, sasa wakristo wamashajua kuwa ni ibada sasa hawawezi kuendelea kuabudu ibada ya kiislam, sasa serikali ipitie upya na kufanya maamuzi mapya ili kujenga amani. Ameshauri kuundwe baraza ya usuluhishi wa maswala ya kidini kuanzia kijiji hadi taifa.
Amesema kipo kifungu kwenye quran ambacho kinamruhusu mwislam kula nyama aliyochinja mkristo, ambapo wao wanasema labda awe padre, amesema mengi. Kwa ufupi nampongeza sana amejitahidi sana kujenga hoja.
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ
tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya mungu.
kuua watu je?jihad? Kujitoa mhanga?shame on yu!
. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:
kwanini tuna ua watu, soma historia vizuri. Shame on men or gays?
kwanini tuna ua watu, soma historia vizuri. Shame on men or gays?
Inawezekana TBC hawakujua jamaa angekunjuka kiivo. Wao walitegemea asingepingana na waziri mkuu na huenda walimfanyia interview kabla na wakaona anamrengo sawa na viongozi wa ccm, na jamaa amewaguka. Wanajuta kumfahamu sasa.
Huenda msimamizi wa kipindi akawa matatizoni.
Inaonyesha puran huijui. Jaribu kufuatilia kwenye gazeti la Tz daima kila jumamosi yaani la jana na matatu kurudi nyuma Mc Mkongwe ametoa ufafanuzi.Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:
unayemsema ni mungu yupi? Yule wa shari na mauaji ambaye huwalazimisha watu kumfuata na kumwabudu kwa ncha ya upanga? Au mungu wa amani anayewapenda watu na kuwapa uhuru wa kuchagua kumwabudu kama itikio la upendo wa mioyo yao kwake?? Maana hizi dini zinaonyesha kuwa zinaanbudu mungu tofauti!!!
historia ya kuuwa watu wasio na hatia?we kweli hujielewi..mungu yupi anasema chinja adui yako?
historia ya kuuwa watu wasio na hatia?we kweli hujielewi..mungu yupi anasema chinja adui yako?asiye fundisha upendo?
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.