MANIAJE
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 244
- 461
Kwasasa wabunge wa ccm na wabunge waupinzani hawapikiki chungu kimoja, lkn kama kuna hoja inayoweza kuwaleta pamoja na wakaungana kwa nguvu zao zote ni hoja ya kuweka ukomo wa ubunge kutoka ubunge wa milele na kuwa ubunge wa miaka 10,hapo ndipo utajua kuwa hakuna mtetezi wa wananchi bali watetezi wa nafasi zao, watetezi wa masilahi yao,
Paza sauti katiba ibadilishwe kipengele cha ukomo wa mbunge na cha kiwango cha elimu ya mbunge, zama hizi kuwa na mbunge mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika ni aibu kubwa, wakati mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari sifa ya kwanza awe na elimu ya kidato cha nne, lkn mbunge mtunga sheria,
Msimamizi wa serikali, mwakilishi wa wananchi sifa yake kubwa kujua kusoma na kuandika ni aibu kubwa kwa nchi