Kwanini?Stay Tuned
Hakitakuwa kizuri na bora kama kilivyokua EATV.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Stay Tuned
Hakitakuwa kizuri na bora kama kilivyokua EATV.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bila kumsahau maneno kumi anafix yule mtu balaaYule anayejikuta Yesu na yule mlafi kazoa nawakubali sana
Hayo ni matokeo ya roho za kimaskini
Namkubali sana huyu jamaa, anafix Ile mbaya. Kwenye kipengele cha maneno 10 jamaa anaongea fasta fasta kama Chris Tucker.Bil
Bila kumsahau maneno kumi anafix yule mtu balaa
Msemo wao mpya nimeupata nilivyoangalia Jana "Haiwezekani sindano achomwe kurwa kupona apone Dotto"Hawa Jamaa wana kipaji sana ila wamekuwa hawana bahati kabisa
Sasa wapo wasafi tv kipindi kinarushwa alhamisi saa 3 usiku Jana nilipata msemo mpya kwao hasa yule wa maneno kumi imebadilishwa tu jina hiyo segment kinaitwa poyoyo anakuambia Kuna Kiki za aina mbili Kiki ya pikipiki na Kiki ya bajaji.Session ya cha uroho Kazoa huwa anafurahisha sana....popote ulipo Kazoa agiza sanitizer nakuja kulipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amenichekesha jana hasa pale aliposema "Haiwezekani sindano achomwe kurwa kupona apone Dotto"Jana kanifurahisha sana maneno 10.
Anaambiwa huyu meja kuwa hajafa kazimia.. yeye anasema nazi 100 za nini shughuri yenyewe ndogo hii, nazi mbili zinatosha kuungia maharage... ndo pale akajibiwa sio nazi ila alizirai huyo meja kunta. Asi nilicheka sana asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ramli kabisa.Stay Tuned
Hakitakuwa kizuri na bora kama kilivyokua EATV.
Sent from my iPhone using JamiiForums