yeah mkuu...sasa ukisema ni kiafya ni tatizo gani kwa mfano[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
We n dini gani washirikishe unaoamini nao wakuombee, wakusomee duaManake Ni mambo ya giza
Kusisimka mwili sio maradhi hata mimi huwa inanitokea na wakati mwengine nikisisimka vinatoka kama vijipele kwenye sehemu niliyo sisimka kwa muda, kisha vinapotea ni mzunguko wa damu unavyo pita ndani ya msihipa yako ndio unao kufanya upate kusisimka. Sio maradhi au ugonjwa wowote ule ni kawaida ya mwili wako.Ni Jinsi damu inavyozunguka ndani ya msihipa yako ondosha wasiwasi.Salaam
Imekuwa Kawaida kwangu mwili kusisimka Yani kama nimemwagiwa maji ya baridi Nikipita maeneo baadhi
Zaidi ya Mara tano nikiwa kwenye mizunguko najikuta nafika sehemu nguvu za kuendelea sina nageuza bila kufika nilipo kuwa naenda tena Sio kwa hiyari na jikuta tu nimegeuza
Nimejaribu kuulizia kwa ndugu Jamaa nao hawana majibu. Kwanini iwe hivyo
Jf kuna Wataalamu kila Aina mnisaidie
Cc mshana Jr
Mara nyingi Usiku.. Huwa na rudi nilikotokea.. Asante nda kutafutaMkuu unahali tatanishi sn, sema ukweli ,, usifichefiche utajapotea angali umri bado mdogo,, Hali hio inakufikia hasa nyakati gani??" je unapo jikuta unageuka nakurudi ulikotoka kunakuwepo na hali gani ktk fikra au akilini? Je huwa unakoelekea ni mahali salama ua unajikuta unaelekea pasipo julikana, misili ya mtu alie changanyikiwa??" bahati mbaya sana huwa napo msikia mtu ana matatizo huwa napatwa na huruma sana, Mi nikuombe ila mi sio dr.wala sina taaluma yeyote ila naomba niongee na wewe japo maneno machache sana juu ya tatizo lako kupita 0765 45 66 85" muda wowote ule
Gonorrhea. Au SijaelewaGono Hilo Baba, MziziMkavu Njoo Huku Fasta
Asante Sana nduguKusisimka mwili sio maradhi hata mimi huwa inanitokea na wakati mwengine nikisisimka vinatoka kama vijipele kwenye sehemu niliyo sisimka kwa muda, kisha vinapotea ni mzunguko wa damu unavyo pita ndani ya msihipa yako ndio unao kufanya upate kusisimka. Sio maradhi au ugonjwa wowote ule ni kawaida ya mwili wako.Ni Jinsi damu inavyozunguka ndani ya msihipa yako ondosha wasiwasi.
Gonorrhea. Au Sijaelewa[/QUOTE. Kejeli hizo co vizuri,msaidie mpe msaada mwenzio