Jambo lile lile lakini..

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,602
Reaction score
20,098
Wana Mmu tujadili hili.
Hivi kwa nini wakaka wakiwa na mademu wengi anasifiwa ni lijali na mdada akiwa na madanga I mean mabwana wengi anaitwa malay.??
Wakati jambo linalofanyika ni lile lile MAPENZI.
!!!!!!!!!
Wewe unasemaje katika hili wana MMU

cc: Nokia83 GENTAMYCINE MankaM Husninyo Excel MUSSOLIN
 
Last edited by a moderator:
Mkaka anarelease mdada ana receive...vitu viwili tofauti.hata sio jambo moja
 
Kwan wengi ni wangapi?
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke ni delicate viungo vyetu vya uzazi havitaki mipini ming...magonjwa mengi...kutoa mimba kutaweza kukufanya uwe tasa au upate kansa..mwanamke kujitunza
Ila mwanaume lijali jembe akiwa na mademu ila ni janga zaid ya mwanamke Malaya ..siku utakayosikia ni shoga
 
Alokwambia mwanaume akiwa na mademu wengi ni ushujaa nani?

Ni umalaya
Umalaya
Umalaya
umalaya
Umalaya tu

Uzinzi
Ugoni
Uasherati tu
 
Alokwambia mwanaume akiwa na mademu wengi ni ushujaa nani?

Ni umalaya
Umalaya
Umalaya
umalaya
Umalaya tu

Uzinzi
Ugoni
Uasherati tu

Heri wewe umeliona hlo lkn kwa sasa wanajiita et n malijal cjui shabab..
 
Hebu pata huu mfano
hivi ukiwa na kitasa kinachofunguliwa na kila funguo jukumu lako ni kukitoa hakifai kwa matumizi kwa kuwa sio salama
Ila ukiwa na funguo inayofungua milango yote hio funguo utitunza na heshima utaiita master key haya hapo leta kwenye maisha halisi
mwanamke akitumika sana anafuja yaani anafubaa tofauti na mwanaume yeye huongeza ujuzi
unabisha ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…