Gazeti la jambo leo limeandika "Mtwara wakubali gesi itoke" wanasema ni baada ya jeshi la wananchi wa Tanzania kwenda kurejesha amani, salamu ya wana mtwara imebadilika kutoka "Gesi haitoki" hadii kuwa "Gesi inatoka".
CC THE BIG SHOW

Bila shaka limeamua kufanya propaganda kwa kuujifanya limehoji wanamtwara na wakakubaliana kuwa sasa gesi inatoka na wamekubali kubadili kauli kuwa "gesi haitoki" hadi kuwa "gesi inatoka".
Kuna udhaifu mkubwa sana kwenye sheria zetu! Sheria zina semaje kuhusu vyombo vya habari kuandika propaganda na uwongo kwenye masuala nyeti?!

Mkuu Mohamedi Mtoi, jambo lolote linalohusisha watu wengi huwa na mushkeli. Jambo Leo linaripoti kuwa WAMEKUBALI, hizi tutaita propaganda, lkn litakaloripoti WAMEKATAA tutasema limesema kweli. Jambo la kujiuliza ni kwamba hawa wote wawili wanamhoji nani?
Wakati tunaona watu na mabango mitaani na nyumba zikichomwa moto, kuna ambao wamesalia majumbani mwao wakikerwa kweli kweli na hayo maandamano. Ila kwa kuwa hawa wameamua kufanya fujo, basi wanaonekana kuwasemea wenzao.
Hata mimi nina jamaa zangu Mtwara, wao maoni yao ni kwamba, fujo hizi zinaletwa na watu wasio na kazi na ni kwa yale walioambiwa na wanaowachochea.
Kuna bwana mdogo mmoja aliwahi kuniambia hivi wakati wa zile fujo za kwanza: HATA MTWARA NAYO INATAKIWA KUENDELEA KAMA BAGAMOYO NA KATAVI. Ukiyatafakari haya utaona ni upuuzi wa kuambiwa, ila kwa mimi niliyefika Mtwara, Katavi na Bagamoyo namuonea tu huruma kwa kuwa na mshawasho wa kujitafutia madhila kwa jambo la kijinga kabisa kwani Mtwara ni mji mkubwa kuliko Katavi na Bagamoyo.
Hapa utaona ni kwamba kalishwa tu maneno kwa kuwa Katavi anatoka PM na Bagamoyo President. Sasa je, tunapaswa kuamini kuwa kila aishie Mtwara anaamini haya? Na Mtwara haiishii Mikindani, mpaka Newala ni Mtwara, je huko nako wanasemaje?
mkuu the big show upo?sema neno jambo leo wachitike
Gazeti la Jambo leo ni chombo cha propaganda za CCM na serikali.
Bora gazeti la Uhuru kuliko jambo leo.
Hata vitumbua halifai kufungia.
Linafaa kutumika chooni tu.
Amefanya nini?Leading story "Chadema wamkomalia kinana, wataka ashitakiwe mahakama ya afrika mashariki".
Kama ulivyo maanisha. Nakubaliana na wewe kama gas ya ushuzi itatoka.