Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Gazeti la jambo leo limeandika "Mtwara wakubali gesi itoke" wanasema ni baada ya jeshi la wananchi wa Tanzania kwenda kurejesha amani, salamu ya wana mtwara imebadilika kutoka "Gesi haitoki" hadii kuwa "Gesi inatoka".
Gazeti la Jambo leo ni chombo cha propaganda za CCM na serikali.
Bora gazeti la Uhuru kuliko jambo leo.
Hata vitumbua halifai kufungia.
Linafaa kutumika chooni tu.
Sasa mlitaka Jambo Leo waandike nini tena?
Bila shaka limeamua kufanya propaganda kwa kuujifanya limehoji wanamtwara na wakakubaliana kuwa sasa gesi inatoka na wamekubali kubadili kauli kuwa "gesi haitoki" hadi kuwa "gesi inatoka".
Kuna udhaifu mkubwa sana kwenye sheria zetu! Sheria zina semaje kuhusu vyombo vya habari kuandika propaganda na uwongo kwenye masuala nyeti?!
tanzania daima wameandikaje?
Kama ulivyo maanisha. Nakubaliana na wewe kama gas ya ushuzi itatoka.labda wanasemea mtu aliyevimbiwa hapo kiukweli lazima gesi itoke lakini kwa gesi ya mtwara no