AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,402
Kwanza habari za hasubuh wana jamii forum,mimi wiki moja iliyopita nlisikia kuwa 'mwimbaji wa nyimbo za injili martha mwaipaja amefariki,kwakuwa nimesafiri nje ya dar cikuweza kujua kwa undani,nimeamua kuuliza kwasababu baadhi ya watanzania ni wazushi.naomba kujulishwa.thanx.