rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,516
- 41,992
Daah pole sana mkuu.. !! Majanga sanaNilisingiziwa nakula mke wa mtu hadi akaachika kwa mumewe! Lakini ukweli anaujua Mungu sukuwahi kumgegeda hata mara moja! Ndugu zake yule mama hawataki hata kunisikia