Hivi Chadema ni taasisi ya serikali?Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema nigalama kubwa lakini miminajiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe galama? Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Kwa nini wahamie DodomaMsajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Mimi sina chama Mimi nimeuliza ilinifahamishwe galama za wao kuhamia dodoma
Wanaokunywa hapo hawana hela binafsi?Watahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Sipingi tatizo ile ofis pale mtaa wa ufipa chadema wamekodi jengo kwaiyo kuhama inakuwa si galama kwao kwani nyumba zakukodi sizipo nyingi tu dodoma , chadema magari wanayo ni kubeba vifaa vya ofisi tuSasa kama wao wameona gharama kubwa kuhama wewe unapinga nini?
Fikra za kimasikini kabisa hizi,eti mtu kama Mbowe au Lissu wasiweze kuingia bar kulamba mvinyo???Duuuh,lumumba akili mgando!Watahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Mimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahamaSasa kama wao wameona gharama kubwa kuhama wewe unapinga nini?
Mimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahama
Mimi napinga vitu viwili tu katika yote uliyosema.Wanaokunywa hapo hawana hela binafsi?
Ni mafukara kama sisi huku vijijini?
Umechukia kwasababu ya furaha yao?
Kuhamia Dodoma je kupo kwenye mpango wa chama na vipaombele vyao?
Je ni lazima vyama viende Dodoma au serikali ndo iende Dodoma?
Umewaza juu ya magari na vifaa !!. Je umewaza kuhusu kuwahamisha watendaji nafamilia zao ?!. Na gharama zitokanazoSipingi tatizo ile ofis pale mtaa wa ufipa chadema wamekodi jengo kwaiyo kuhama inakuwa si galama kwao kwani nyumba zakukodi sizipo nyingi tu dodoma , chadema magari wanayo ni kubeba vifaa vya ofisi tu
Kwenda huko!Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
kusoma na kuandika hujui , ndio uwe uchambuzi ?Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma