Jambazi sugu anapotubu hadharani!

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Kuna TV moja inasemekana inatarajiwa kuwa na mahojiano na Jambazi sugu ambaye atataja matukio mbali mbali ya uhalifu aliyowahi kushiriki wakati akiwa mtu wa kazi.

Inadaiwa atasimulia jinsi polisi wanavyoshiriki kwenye uhalifu na kwa nini yeye alishiriki kwenye matukio hayo.

Tunaona katika simulizi mbali mbali za vitabu kuwa haya yaliwahi kutokea, lakini nina wasi wasi kama hapa kwetu ni utamaduni wetu! Na Polisi wanaweza wasivumilie kuanikwa hadharani. Lakini kingine ni kwamba sheria inasemaje linapokuja suala suala la mhalifu kama huyu. Je anaweza kutoka nje akakamatwa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom