Prof Gamba JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 390 Reaction score 267 Nov 3, 2011 Thread starter #21 chapaa said: Hivi kumbe ckuhizi majambaz wamekuwa na masihara namna hio ntakuwa ckimbii hata ipigwe risasi hewan Click to expand... Usiwe unakimbia uone utakavyokuwa chemchemi ya maji kwa kujikojolea!!! majambazi ni nomaa maana wanakupoteza muda wowote.
chapaa said: Hivi kumbe ckuhizi majambaz wamekuwa na masihara namna hio ntakuwa ckimbii hata ipigwe risasi hewan Click to expand... Usiwe unakimbia uone utakavyokuwa chemchemi ya maji kwa kujikojolea!!! majambazi ni nomaa maana wanakupoteza muda wowote.
Prof Gamba JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 390 Reaction score 267 Nov 3, 2011 Thread starter #22 Ndibalema said: Hapo ni mbio tu bila kusita wala kujiuliza mara mbili mbili. Click to expand... Mimi nadhani haya maamuzi kwa wakati huo yatakuwa ni sahihi japokuwa huo ni usaliti mbele ya Mungu wako. Maana hapo utakuwa unauponya mwili na wala sio roho.
Ndibalema said: Hapo ni mbio tu bila kusita wala kujiuliza mara mbili mbili. Click to expand... Mimi nadhani haya maamuzi kwa wakati huo yatakuwa ni sahihi japokuwa huo ni usaliti mbele ya Mungu wako. Maana hapo utakuwa unauponya mwili na wala sio roho.
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Nov 3, 2011 #23 ishachekesha hiiiiiiiii, na yule mwenye avatar la boga lenye water cork
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Nov 3, 2011 #24 Apollo said: Ndio, nampenda Yesu...but ninaupenda uhai wangu pia! Click to expand... umesahau kuwa kumfuata Yesu lazima ujikane mwenyewe, ningekuwa Mchungaji ningefunga milango kabisa ili kila aliyetoka asiingie tena
Apollo said: Ndio, nampenda Yesu...but ninaupenda uhai wangu pia! Click to expand... umesahau kuwa kumfuata Yesu lazima ujikane mwenyewe, ningekuwa Mchungaji ningefunga milango kabisa ili kila aliyetoka asiingie tena
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Nov 3, 2011 #25 wanasali ili siku wakifa wafanyiwe ibada ya MLAZE PEMA PEPONI..hilo tu.!
Prof Gamba JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 390 Reaction score 267 Nov 3, 2011 Thread starter #26 Utingo said: umesahau kuwa kumfuata Yesu lazima ujikane mwenyewe, ningekuwa Mchungaji ningefunga milango kabisa ili kila aliyetoka asiingie tena Click to expand... Huwezi kupata ujasiri huo mbele ya majambazi hata kama ni mchungaji, ukumbuke pia kuwa kila mtu atajitwisha mzigo wake mwenyewe.
Utingo said: umesahau kuwa kumfuata Yesu lazima ujikane mwenyewe, ningekuwa Mchungaji ningefunga milango kabisa ili kila aliyetoka asiingie tena Click to expand... Huwezi kupata ujasiri huo mbele ya majambazi hata kama ni mchungaji, ukumbuke pia kuwa kila mtu atajitwisha mzigo wake mwenyewe.
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Nov 3, 2011 #27 dah...huu utani mbona kama unafundisho fulani hivi ndani yake.....mbele ya kifo bhana......chochote chawezekana.
dah...huu utani mbona kama unafundisho fulani hivi ndani yake.....mbele ya kifo bhana......chochote chawezekana.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,100 Nov 3, 2011 #28 Prof Gamba said: Huwezi kupata ujasiri huo mbele ya majambazi hata kama ni mchungaji, ukumbuke pia kuwa kila mtu atajitwisha mzigo wake mwenyewe. Click to expand... Baada ya wanafunzi kumwomba Yesu ili wakawaage ndugu zao kwanza ndipo waje wamfuate, aliwaambia....kila ajaye kwangu lazima ajikane yeye mwenyewe.
Prof Gamba said: Huwezi kupata ujasiri huo mbele ya majambazi hata kama ni mchungaji, ukumbuke pia kuwa kila mtu atajitwisha mzigo wake mwenyewe. Click to expand... Baada ya wanafunzi kumwomba Yesu ili wakawaage ndugu zao kwanza ndipo waje wamfuate, aliwaambia....kila ajaye kwangu lazima ajikane yeye mwenyewe.