mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 240
pole wafiwa
kuwa mtu mzima bac ungepigwa wewe ndugu zako wangeshabikia ?
Hawapigi mabomu bila sababu. Tutii sheria bila kushinizwa hatutapigwa mabomu.
Sidhani kama upo sawa kichwani we fa.ra..si.
Haijalishi ni aina gani ya kifo, lakini kushabikia kifo cha binadamu mwenzako aliyepaswa kuishi sio sahihi kabisa..
Acha siasa kwenye uhai!
Hahahaa haaaaukisikia kazi za wito ndo hz.mimi siwezi ku sacrifice maisha yangu kwa sabbu ya hela za mtu.pesa zinatafutwa tu
Safi sana policcm wapigwe tu!
Kumbuka binadamu tunapata majanga katika sehemu tofautitofauti kwa mfano ajali je ikatokea bahati mbaya kwa wewe ukapata ajari katika usafiri, watu wafurahie kwa wewe kupata ajali ? tuacheni siasa, tuweni waungwanaMkuu usitegee mm kunikuta poti na ni hivi kwa sababu polisi wa Tanzania wanatumika kisiasa na mimi nasema nao wapigwe tu!
Alieleta uzi sio mie, nilichofanya ni kumwonyesha jamaa ufafanuzi kutoka kwa Zephania maana alimuuliza kitu kuhusu hivyo vyeo vya polisiBado hujarekebisha kitu kwani umeombwa uweke source ya taarifa yako ina utata mwingi si katika kifo cha OC-CID bali huyo RPC ZELOTHE STEVIN mbona alishastaafu hapa Dododma 2010 akaongezewa miaka 2 akaondoka 2012 kwenda kwao UMASAINI?
kweli majanga km Said Mwema kenda mficha huko basi tena
ngoja tufuatilie TV na RADIO za FM
samahani Mkuu lengo langu lilikuwa ni Mleta Mada kirobotokirobotoAlieleta uzi sio mie, nilichofanya ni kumwonyesha jamaa ufafanuzi kutoka kwa Zephania maana alimuuliza kitu kuhusu hivyo vyeo vya polisi