binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,259
Imebidii nicheke tu maana daah,Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Imebidii nicheke tu maana daah,Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Wanaume wanapambana na mtoto wa miaka 15, na akawaponyoka. Angekuwa Scorpion si angewanyoa mavuzi kwa kwanja??Lakn si umeona walivyopambana naye? Ingekuwa dsm huyo dogo angewapora pesa nyingi saana maana hata wasingejaribu kupambana naye
Vyanzo vyetu si hivi hivi vya hapa na pale.Mbona umesahau kuandika chanzo cha habari?
vya pale na hapa....vya hapa na pale.
Mpaka hapo walihitaidi mkuu siumesikia kuwa walimkamata Kwanza alafu akaponyoka wa Dar ata kupiga kelele za mwizi hawaezi polisi wangekuta watu washajikojolea na kupewa taarifa majambazi walikuwa 14Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Kwani wewe wa wapi?Wanaume wa Dar naona wamefurahi
Maana wamepata kisingizio.
dogo labda katokea tarimeeHuyo dogo nae yani katumia risasi alafu anachukua arobaini tu? anapaswa kutumbuliwa!
Asprin bana.......Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Labeka mama... waeza kunipa sababu tatu kuu kwanini umenitosa??? Anza na ile mbaya zaidi...Asprin bana.......
Yaani mpaka anatoa bastola kwenye begi wanaume wa Mwanza wanamuangalia tu.Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Hahahahahaha..... dah!!Yaani mpaka anatoa bastola kwenye begi wanaume wa Mwanza wanamuangalia tu.
Eti bwana..!Huyo dogo nae yani katumia risasi alafu anachukua arobaini tu? anapaswa kutumbuliwa!
hawachelewi kusema nyakato mtaa wafikiao wanaume wa dar.Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Hahahhaha.... sitashangaa wallahhawachelewi kusema nyakato mtaa wafikiao wanaume wa dar.
Unamaanisha mwaka kesho na wewe unahamia Dodoma?Kisingizio gan bwana na wakat mtu mmemshika anawaponyoka ..mngemfata bas alipopiga hio risas hewani,
Wanaume wa dar tuko vizuri mumeona tulichofanya uwanja wa taifa mbele ya mkulu...sisi ndo makomandoo bwana
hicho kitoto kingekua kweny himaya yetu tungekapa pigo moja sehem kangelala na kuzindukia polisi