jamani zungu anachana huku clouds FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani zungu anachana huku clouds FM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chumvi1, Aug 9, 2011.

1. C

Chumvi1 Senior Member

#1
Aug 9, 2011
Joined: Oct 10, 2010
Messages: 137
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Jamani zungu anafunguka balaa sakata na uda hatari kwenye jahazi clouds fm.hii ngoma inaondoka na mtu sasa

2. C

Chumvi1 Senior Member

#2
Aug 9, 2011
Joined: Oct 10, 2010
Messages: 137
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Zungu katoa vielelezo kamwachia mtangazaji kwamba masaburi alisaini documents kuruhusu uda kuuzwa

3. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#3
Aug 9, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
Amesema nini...?, wengine tupo huku Timbuktu ninachoshika ni hii tu net kutoka kwenye hili karai langu

4. Rugambwa31

Rugambwa31 JF-Expert Member

#4
Aug 9, 2011
Joined: May 13, 2009
Messages: 227
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Shukrani kaka tunampata hapa pia. Jamaa anaonekana mkweli kutokana nanilivyomsikiliza. Sasa huyo bwana Masabuli atupe ukweli wake unakuaje hapo?

5. C

Chumvi1 Senior Member

#5
Aug 9, 2011
Joined: Oct 10, 2010
Messages: 137
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Msikilize mtemvu anasema ANASIKITIKA KWAMBA masaburi ANAWAAMBIA WAO WAnafikiria kwa kutumia ******

6. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#6
Aug 9, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,650
Likes Received: 35,409
Trophy Points: 280
Duh nilidhani na hapa nahitajika kuja kutoa utetezi kumbe siyo.

7. B

Bajabiri JF-Expert Member

#7
Aug 9, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Tell me ,,maana huwa siskiz radio hii,pia nafturu..........zungu akafuturu

8. B

Bajabiri JF-Expert Member

#8
Aug 9, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

wanasiasa huwajuiiiiiiii?????

9. ndenga

ndenga JF-Expert Member

#9
Aug 9, 2011
Joined: Dec 20, 2010
Messages: 1,695
Likes Received: 428
Trophy Points: 180
Imefikia wakati wa kuambiana ukweli na kukemea rushwa na ubinafsi wa viongozi wetu kwa nguvu zote. Kwa kweli Mayor aliniudhi sana na tusi alilowapa wabunge wetu. ilikuwa dharau kubwa sana kwao!!! mpake kieleweke!!

10. C

Chumvi1 Senior Member

#10
Aug 9, 2011
Joined: Oct 10, 2010
Messages: 137
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Nchi kwisha habari yake mtemvu anasema wamemsaidia mke wa masaburi kupata ubunge wa africa mashariki na hao waliosaidia leo hii wanabezwa na kutengenezewa kashfa. kumbe nchi hii ili upate cheo lazima ufahamike shenzi kabisa usipokuwa na network hata ubunge wa ndani ya nchii hii kumbe hupati, watu wanabebana hawaangalii competence ya mtu, depend on who you know. ****................

11. B

Bajabiri JF-Expert Member

#11
Aug 9, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

koooote napingana na MASABURI,lakin la kufikiria kwa VIJAMBIO,,,,,,,,,,naunga mkono hoja,wawakilish wetu hawatumii akili,mmesahau tozo la mafuta ya taaa,si huwa mnaskia vigeregere??????

12. B

Bajabiri JF-Expert Member

#12
Aug 9, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

unaona????????jana nilipoanzisha sridi ya akina masabur,mtemvu na zungu nilisema kuwa hawa inawezekana hata walidhurumiana,,,,,,,,

13. Matola

Matola JF-Expert Member

#13
Aug 9, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,276
Trophy Points: 280
Naona ile clouds thread Alarm Alert inafanya kazi kweli kweli, maana unafika eneo la tukio kwa wakati.

14. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#14
Aug 9, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,650
Likes Received: 35,409
Trophy Points: 280
Oh yeeeah inafanya kazi vizuri mno. Vipi, na wewe nikupe hiyo software?

15. B

Bajabiri JF-Expert Member

#15
Aug 9, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

japo lile ni TUSI,lakin kawaeleza ukweli,hasa hao wanaoweka maslah yao na chama pale bungeni,supika naibu na wenyeviti wanatumia nin kuwaza???maamuz ya NDUNGAI?????alitumia tigo kuwatoa wabunge wale nje,,,,,masabur iz ryt,wabunge wabadilike????umewaskia waliokodiwa ndege kwenda MARA????wanawaza kwa kutumia vijambio wale si akili

16. Matola

Matola JF-Expert Member

#16
Aug 9, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,276
Trophy Points: 280
mimi alinifurahisha sana kwa sababu alisema ukweli, na aliowalenga yeye ni hao wabunge watatu wa ccm wa mkoa wa Dar es salaam. ila Tanzania kila kitu kinawezekana ili mradi ujumbe umefika Masaburi anaweza kusema waandishi walimnukuu vibaya kwishnei.

17. Matola

Matola JF-Expert Member

#17
Aug 9, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,276
Trophy Points: 280
Aisee wewe ni nouma, kama ipo hiyo software ebu nipatie na mimi, maana thread za clouds aziwezi kupita siku mbili bila kuanzishwa humu, maana sijawahi kusikia wanaolalama kuhusu Redio one, hapa ni clouds + Kibonde. very interesting.

18. Kabakabana

Kabakabana JF-Expert Member

#18
Aug 9, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 5,559
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
hawaeleweki wote hawa acha waendelee kupondana wakati umeme hamna na mafuta pia chaa

19. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#19
Aug 9, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,836
Trophy Points: 280
Tutasikia mmoja akisema fulani na mtafunaga kiboga!! Nyie subirini muone!!

20. B

Bajabiri JF-Expert Member

#20
Aug 9, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Azzan anakashfa ya kutembea na mke wa mtu,,,,masabur anaweza akaongea na HILO

Loading...