Ama kuna ka phobia flani ka studio lighting na cameras, coz am sure that the participants are not in any way less intelligent than the rest, its just that kuna kale kauoga flani they experience when participating in the program. It happens to the best of us, in interviews, exams, where you can go blank after being asked something you are conversant with...That is not the case mzee, maana Kiingereza kinachotumika sio kigumu kiviile mtu akashindwa kuelewa!! ni upeo mdogo tu wa mambo ya kidunia!!
mbona wale wa jana ki bluray chao kilikua shwari tu...nilicho note jana ni kua hawakua wanajua majibu hasa yule mdada wa MD 4th year!! unajua kwenye ile zain challenge kuna mambo mawili ili uweze ku win...moja ni kua na good timing ya kubonyeza na pili kuelewa swali!! sasa kwa jana jamaa wa Tumaini yote walikosa!! ilikua mshike mshike!hapo kwenye kibluray ndo nimepaka rangi
Kimey 'bite you tongue' (sijui ni ki-noname hicho)...
ile wee unaona si tatizo lakini nakwambiaje lugha ni kikwazo....believe you me!!
nilimshuhudia graduate wa sheria chuo fulani alikwenda kuomba attachment kwenye law firm......jamani unaweza kulia!!! wewe unaesikiliza unatamani kuingia chini ya meza!!!!
pamoja na hayo nadhani upeo wetu bado ..tunahitaji kukaza buti zaidi am sure we can bana kwani nini!!!
May be kwa wao wanona sawa tu apite asipite anondoka na dolar 1000, bila kufikiria kua wanakipaka matope chuo chao!!si ajabu wanaowachagua wawakilishe wenzao nako kuna tatizo labda wanachaguana kwa kujuana maswali mengine kwa kweli ni marahisi sana.
si ajabu wanaowachagua wawakilishe wenzao nako kuna tatizo labda wanachaguana kwa kujuana maswali mengine kwa kweli ni marahisi sana.
mbona wale wa jana ki bluray chao kilikua shwari tu...nilicho note jana ni kua hawakua wanajua majibu hasa yule mdada wa MD 4th year!! unajua kwenye ile zain challenge kuna mambo mawili ili uweze ku win...moja ni kua na good timing ya kubonyeza na pili kuelewa swali!! sasa kwa jana jamaa wa Tumaini yote walikosa!! ilikua mshike mshike!
Hii nayo inaweza kua one of the reason....Ama kuna ka phobia flani ka studio lighting na cameras, coz am sure that the participants are not in any way less intelligent than the rest, its just that kuna kale kauoga flani they experience when participating in the program. It happens to the best of us, in interviews, exams, where you can go blank after being asked something you are conversant with...
Acha tu wangu hebu ulizia marudio lini then utakuja kunipa feeback!! unajua kuna kupitwa kwa timing ila kwa jana gap ya point ilikua inatisha!!Meku walikosa yote????
aaaaah tafadhali bwana.....
ndo maana mi nasema pamoja na ukweli kuwa tuna tatizo la lugha lakini pia kuna kitu hakipo sawa mahali.......
Naona Tuwe tunajitoa mapemaaa ili kukwepa hii aibu. Inatoa picha mbaya kwa Taifa kwa ujumla. QUOTE]
Vimebaki vyuo vitatu
1. Ardhi university
2. ............
3..............