Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam wana jukwaa.
Mwenzenu nina miaka mingi sana sijasikia habari ya huyu member wa jf a.k.a Transistor yaani sijui yupo hai au vipi naona kimya wala hapatikani hapa katika kuchangia na wala post zake sizioni.