jamani yamenikuta........!!!!!!

kaa mguu ndani ,mguu nje.

kweli, bado haya maswala ni fresh sana hata yy mwenyewe saa hizi hajui itakuwaje.
Ila usiingie kwenye ndoa kwa kumuonea huruma, ingia kwa kupnda na kukubali yote yajayo.
Muweke mungu wako mbele.
Ila kama wallivyosema huko juu inawezekana kabisa, na hutokea, ila nii rare ikakosekana conflict mbeleni kuhusu huyo mama, ila mtakavyozisolwe ndio juu yenu
dont worry so much kama sio wako mwache aende zake, kama ni wako utajua na utamkumbatia na usimwache
 
Kweli yamekukuta,kama anakupenda nadhani atamtunza mtoto na kuendelea na msimamo wake kwako
lakini kama ndo mambo yetu yale ya ooh nilienda kuona mtoto shetani akanipitia
Mdada ataongeza mtoto wa pili kufumba na kufumbua ooh sorry Amyner nimeamua kumuoa mama watoto wangu.
Kumbuka mke/mme mwema hutoka kwa mungu
 
Nna boyfriend ambae baadae natarajia kua mme wangu mtarajiwa,wakati ananapproach alniambia km alkua n demu lakini aliachana nae kwa bahati mbaya wakati wanaachana kumbe hyo msichana alikua na mimba ya huyo boyfriend wangu,n mwnyw alniambia na akaniomba Ushauri coz alkua anasema aikatae mimba huenda Co yake, bt m nkamshauri ackatae incase n yake ajue namna ya kujipanga. Mtoto akazaliwa copyright n hyo boyfriend wangu. Tatizo langu n kwamba huyu boyfriend wangu ataendelea kua na msimamo na mm ama atarudi kwa msichana aliezaa nae?

Siku zote mahawala hawaachani wanacho fanya nikukumbushia tu Amina
 
Sasa ulitaka mtoto asifanane na babake afanane na wewe?

Kwa hiyo angejifungua mtoto asiyefanana na huyo bf wako roho yako ingetulia?
 
Ujue wewe ndo uliwaachanisha, maana mpaka demu ana mimba siyo rahisi kuachana...
 
this is too big aisee:scared:
Kweli yamekukuta,kama anakupenda nadhani atamtunza mtoto na kuendelea na msimamo wake kwako
lakini kama ndo mambo yetu yale ya ooh nilienda kuona mtoto shetani akanipitia
Mdada ataongeza mtoto wa pili kufumba na kufumbua ooh sorry Amyner nimeamua kumuoa mama watoto wangu.
Kumbuka mke/mme mwema hutoka kwa mungu
 
dadaangu songa mbele, wazazi hawaachani hata cku moja coz wana kiunganish ambacho ni mtoto, ya nini kujipa presha, cku akikwambia naenda kuzungumza na mama wa mwanangu utabaki home na amani kweli?....., dont worry, you will get the right man to marry you.
 
Nna boyfriend ambae baadae natarajia kua mme wangu mtarajiwa,wakati ananapproach alniambia km alkua n demu lakini aliachana nae kwa bahati mbaya wakati wanaachana kumbe hyo msichana alikua na mimba ya huyo boyfriend wangu,n mwnyw alniambia na akaniomba Ushauri coz alkua anasema aikatae mimba huenda Co yake, bt m nkamshauri ackatae incase n yake ajue namna ya kujipanga. Mtoto akazaliwa copyright n hyo boyfriend wangu. Tatizo langu n kwamba huyu boyfriend wangu ataendelea kua na msimamo na mm ama atarudi kwa msichana aliezaa nae?

punguza wasiwasi ukitaka mafanikio.. kwani akikuacha baadae ndo utakuwa mwisho wa maisha yako? akiona humfai tena karibu kwangu nitakupa pakufikia!!!
 
Hata kada atakuoa akipata demu mwingine atakuacha na ww pia. Mwanaume macho juu juu huyo! Songa mbele
 
Nna boyfriend ambae baadae natarajia kua mme wangu mtarajiwa,wakati ananapproach alniambia km alkua n demu lakini aliachana nae kwa bahati mbaya wakati wanaachana kumbe hyo msichana alikua na mimba ya huyo boyfriend wangu,n mwnyw alniambia na akaniomba Ushauri coz alkua anasema aikatae mimba huenda Co yake, bt m nkamshauri ackatae incase n yake ajue namna ya kujipanga. Mtoto akazaliwa copyright n hyo boyfriend wangu. Tatizo langu n kwamba huyu boyfriend wangu ataendelea kua na msimamo na mm ama atarudi kwa msichana aliezaa nae?

kama kwa sasa ametulia hamna shida,ila omba mungu angalau huyo dada aolewe mapema.
 
boyfriend wako alitoa sababu gani ya kuachana na msichana aliyekuwa na mimba yake already? chukua tahadhari asije akawa dunga dunga..
 
Sema na Moyo wako huku ukiangalia mahusiano yenu kwa sasa

Isijekua ni woga wako tu juu ya haya yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom