Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Ndo washazima TZ Mange si alishasema? Bado kuzima Internet tuu wote tunabaki na ndio mzee.

Hehehee don't rely on Kasie she is Matata.
 
Bwana Kayoka usiweke namba hadharani hivyo.....
 
hata hapa sweden pia watu wengi wanatumia mwaka mpya salaam ndugu na jamaa
 
Wana jamii forum mmegundua kuwa tokea saa tatu usiku huu whatsup haifanyi kazi? What is happening?
Labda utakuwa Naliendele au Nanjilinji...

Kwingineko whatsapp inapiga mzigo like never before...
 
Imesharud katika ubora wake wakuu
 
Imesharud katika ubora wake wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…