jamani watu wabahili

jamani watu wabahili

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Bahili alinunua Mbuzi akamwambia Mpishi. "Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friji,kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi wa chukuchuku,ngozi usitupe tutafanya mkeka,utumbo pika na ndizi,mifupa tutawauzia wenye mbwa,kinyesi weka kwa ajili ya mbolea ya bustani"...Mpishi akamuuliza " sauti yake je""? Ahaa tufanye ringtone kwenye simu yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom