mpare bahili

mpare bahili

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,220
Mpare
bahili...
Alinunua mbuzi!!
Akamwambia mpishi,nyama nuthu ipike pilau na
nyingine itie kwenye fritha!!
Kichwa fanya thupu na miguu fanya mchudhi chuku
chuku!!
Ngodhi uthitupe tutafanya mkeka... Utumbo pika na
ndidhi na mifupa tutawaudhia wenye mbwa! Mkia
nitengenedhee uthinga wa kufukudhia indhi, kinyethi
kihifadhi kwa mbolea ya bustani...
Mpishi akamuuliza: Hutaki na sauti ya mbuzi 2fanye
ringtone kwenye simu yako?!
 
Aithee vipi chalii yangu mbona unaadha uchokodhi aithee? Mi thitaki uchokodhi na mtu.
 
Shiga du!

Ugali mboga picha ya Samaki

Hiyo Ringtone huwa ipo sawa Mehehehe
 
Wanathema thithi ni wabahili thithi thio wabahili ila tunakwenda na bajeti.
 
matani mengine tutashababishiana hasara ya kuvunja computer zetu maana yanaendana na ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom