Jamani wandugu naombeni ushauri wenu hapa

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Hili gari naona kwangu lina suit matumizi, lakini naomba ushauri wenu kuhusu spear, kudumu kwake na mengineyo. classic model suzuki.jpg
 
Ngoja wajuzi waje mie sijui chochote zaid ya kuangalia petrol iko full au laa..
 
Hii safi kabisa, na utasave pesa nyingi sana ambazo zingetumika vibaya katika usafiri, spare zake hata kwny vibanda vya nyanya unapata!
 
naona iko poa mkuu.. based on suzuki cars. hazisumbui sana
 
Um ewahi kuona suzuki imekufa kabsaa na haitengenezeki? fanya observation ndogo kuanzia Suzuki Maruti Mpaka Grand Vitara utapata jibu, chezea Suzuku wewe!
 
Thanks, sana wakuu, i knew nitapata the best ans. , i lyk it for real.
 
Back
Top Bottom