Jamani wanawake mna vituko!

Mwanamke asipokupiga vizinga hakupendi!! mi ndio huamini hivyo, ndio mana wangu asiponiomba namuuliza "vipi mbona hunipigi mizinga? unamwingine nini unaempiga mizinga!"
 
Ukiona hivyo basi ujue huyo ni 'mtembezaji'. Inawezekana ana multiple partners ambako anapiga vizinga ili ku-meet hayo mahitaji yake, kwa hiyo anaona ukimganda uwe wewe peke yako utampunguzia kipato chake. Mwanamke asiyetembeza hawezi kuuliza swali kama hilo.
 
hivi jamani si kauliza tu uuuuuuu ili ajue
kama na yeye anahusika au amebajetiwa this season ajue
wagosha na wangima sasa yeye akae tu hajui
lolote mweh ,
bora ajue mapema na kama kujishuhulisha ajishuhulishe ili kujikimu
mweeeeeeeeeeeeehhh
hata mie napendaga kujua vipi haya maji mshikajia atayaweza? hhahhal
 
Eti wao wanaona mimi nimechemka!!
 
Vituko unavyo wewe ambaye una mke halafu unataka nje upate huduma ya
Bure wakati nyumbani unaacha kodi ya meza.
 
toa kitu upate kituzzzzz!!!
kwani na yeye si anapata.... nilienda mkoa fulani nikakutana na classmate wangu wa secondari coz of upweke nikaomba kampani yake ile anaondoka nkampa nauli anadai eti nimwongeze coz amenikubalia na majamboz nimepata sheenzi type nikampa kubwaaa kwani ww hukupata majamboz nipe basi mm hyo pesaaaa
 
Vituko unavyo wewe ambaye una mke halafu unataka nje upate huduma ya
Bure wakati nyumbani unaacha kodi ya meza.
kwanza nyie wanawake ndo huwa mnaenjoy mwanzzo mwisho mwanaume ni second tu kwa nini msitoe nyie hzo huduma
 
Mwanamke asipokupiga vizinga hakupendi!! mi ndio huamini hivyo, ndio mana wangu asiponiomba namuuliza "vipi mbona hunipigi mizinga? unamwingine nini unaempiga mizinga!"
aise kweli mie mwenyewe hapa nashangaa demu wangu haombi hata senti hadi nimlazimishe wakati naona anaripuka hadi nahisi napigwa changa la macho
 
Back
Top Bottom