Jamani wanawake kulikoni

Nahisi siku ya pili ama ya tatu thread za MMU asilimia kubwa zinawashambulia wanawake hasa eneo la ndoa na mahusiano. Na zinakuja kwa kasi kweli kukiwa na maneno makali.

Kulikoni my lovely ladies wa humu!!!

Ni mambo ya JANUARY tu full Stress . January ya kimtindo hii ikiisha na haya yataisha ila mwafwaaa![emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…