BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Hivi mpendwa kwenye hii avatar yako ni wewe? maanaUchumi.ndo unasababisha
Haha mshirikishe na Mungu piaNgoja nimlinde honey wangu miye asijepata vipusa
Huogopi magonjwa mkuuSasa hivi ni kuparua tu awe mke wa mtu awe mama wa mtu wembe ni ule ule uaminifu tumeweka mfukoni.
Mkamatie haswaaaNgoja nimlinde honey wangu miye asijepata vipusa
Mkuu mpaka sasa ujajua kazi ya condom?Huogopi magonjwa mkuu
Mkuu , kwasababu condom zipo tu zimfanye mtu asiwe mwaminifu na mwenye hofu na Mungu...tufanye uchafu mbele ya uso wa Mungu.Mkuu mpaka sasa ujajua kazi ya condom?
PATO08221 NI WEWE NDIYE LEO UNAANDIKA HAYA AU UNASAKA LIKES MZEEMkuu , kwasababu condom zipo tu zimfanye mtu asiwe mwaminifu na mwenye hofu na Mungu...tufanye uchafu mbele ya uso wa Mungu.
Kwanini usitulie na mmoja mwaminifu
ha ha ha eeeh.mpendwa nlikuwa.kwenye photoshoot maandalizi ya UkutaHivi mpendwa kwenye hii avatar yako ni wewe? maana
Ndio mimi mwenyewe mkuuPATO08221 NI WEWE NDIYE LEO UNAANDIKA HAYA AU UNASAKA LIKES MZEE