maisha magumu mtaani..
muweke ndani kwanza.....ili muwe 'kwa shida na raha' mambo ya kutuma tuma pesa hiyo ni 'kwa raha only' au hujui?
maisha ndo kuomba pesa
kafanyaje tena
Ukiona penzi linanoga kwa sababu ya mshiko ujue hapo wewe ni ATM na si mpenzi. Kutoa pesa iwe ni kwa kupenda tu na si kwa sababu utafutwe kupendwa!
Huwezi kutenganisha mapenzi na pesa
katika siku ambazo nilifurahia uhusiano mie ni zile siku tunaenda club na mupenzi
meza inajaa kijani tupu hizo ni castle lite, tunalewa, tunacheza mziki saa kumi tunaenda kumalizia mengineyo
yani mapenzi rahaaaa utamuuu
bila pesa hizo raha tungekula?pesa inaongeza ladha kwenye mapenzi kama kitunguu kwenye mboga
mtuache tupumue huwa mnalazimishwa kutoa..... na mtachunwa mpaka mifupa mwaka huu huwez waachie wenye nazo huwa hawalalamiki.
Acha kukwepa majukumu wewe, kata pochi upate penzi
Kama huna pesa paki pembeni ondoa jam
"mwenye kisu chenye makali ndo anaekula nyama"
hicho kisu chako butu kamenyee ndizi....