Nyalotsi
Sasa wewe unavyoona the way to deal na mume mmbovu na mpuuzi ni kukataa kuishi na ndugu!!!??? Duh this type of mentality is exactly why these men ..................... :tape:
Bahati Yangu
Mwanaume aliyediriki kumvua nguo your own niece, ni ushauri gani hapo anaotaka!???The usual BS ,ndio wanaume walivyo , ndoa ni ngumu and blah blah blah ama??? ..............urgh
Sema ni wepesi sana kusahau wema wetum sisi wanaume rijali, mambo mema tunayowatendea hamji hapa jamvini kutangaza, magari tunawahongeni, viwalo tunawanunulieni, nyumba tunakujeengeni, sifa za uzuri na urembo tunawapeni hata kama hamna, hayo yoote mnasahau, mnavizia tu tumemkonyeza au kushika kalio la nani basi mnakuja hapa Jf kulalama. Hivi umeshaona thread hapa ya mdada yeyote akisifia fadhila zetu wanaume! Wanaume hatuna hiyana kama nyie wadada!hawana jema wallahi..........
wanawake wanatimiza wajbu wao..?deleted thread
baby kinachokufanya uwapende wangoni ni nini?
Shamba lenye pilipili na nyanya,mara nyingi unakuta aliyepandahawana hata maana, bila wao nafikiri ulimwengu ungekuwa na furaha sana.
Maadili yanasemaje kuhusu mtu kutimiza wajibu? kama tutaamua kufuata vitabu vya dini au maadili mengineWajibu upi? Kwa hiyo kama hatimizi wajibu maadili ya jamii yake/yetu /biblia/ quoran inasema mbadala ni huo/ufanye hivyo?
halafu nasikia wangoni kwa mauno balaa
......one sided storyWajibu upi? Kwa hiyo kama hatimizi wajibu maadili ya jamii yake/yetu /biblia/ quoran inasema mbadala ni huo/ufanye hivyo?
......one sided story
bado sijaruhusu umesha cheka. haya basi acha kucheka.Naomba nicheke.....hahahaaaaaa
mkuu labda kuna ukweli ndani yake ngoja nitafute mmoja nimuonje nitaleta majibu.vp wewe hutaki kuonja?
bado sijaruhusu umesha cheka. haya basi acha kucheka.
Hahaaa tafuta wa kuoa kabisa..
mmmm Baba kweli? mama Madame B hajambo? shikamoooooooooo^^
Sie Wanaume wabaya kweli..
^^
mkuu naomba uniruhusu nifanye utafiti, ila naomba number of sample isiwe less than 30halafu nasikia wangoni kwa mauno balaa
sasa sister unataka nioe bila kuonja si nitauziwa mbuzi kwenye gunia.