Jamani wanaume

Kumbe sister pia mngoni? Usengwile...🙄🙄

Yap mim mngoni ila wa dot com...yani kilugha chetu najua kidogo sana....yani maneno machache sana.....na wew ni wa uko...?
 
Last edited by a moderator:
yaah ni kweli ndio maana wamejaa kwenye makanisa na majumba ya maombi kutafuta relief. wanawake wengi wanastress za maisha hasa walioolewa.

ni kweli kabisa bt stress za wanawake huishia kweny kulia! lakin stress za wanaume huishia kweny kifo na ndio mana wanaume weng waliooa hufa kwa stres na kuacha wajane wengi!!!
 
wanawake wanalia na hasira zao zinaisha lakin wanaume hugugumia moyon na hatimaye hufa kimyakimya!
 
mwondoshe ndugu yako afu take it iyz yan fanya kama hakuna kitu kilichotokea uwe mkarimu kwa mumeo tena mwonyeshe upendo zaid! hiyo ni adhabu kubwa sana kisaikologia na itamtesa sana
 
Hivi utaniambia ni w/me tu ndio majanga ktk mahusiano?
...
Mmmh! Maskini Mashaxizo alikua good boy kwenye mahusiano!!!

na siku hizi umekuwa bad boy sana mkuu, tatizo ni nini?
 

Nyalotsi
Sasa wewe unavyoona the way to deal na mume mmbovu na mpuuzi ni kukataa kuishi na ndugu!!!??? Duh this type of mentality is exactly why these men ..................... :tape:

Bahati Yangu

Mwanaume aliyediriki kumvua nguo your own niece, ni ushauri gani hapo anaotaka!???The usual BS ,ndio wanaume walivyo , ndoa ni ngumu and blah blah blah ama??? ..............urgh
 
mbna kamfano kma kastory ka Mzee wa akudo hapo mwisho mwisho
 

sasa mbona hilo tatizo ni dogo,hatari ni kama amemtia mimba hapo ndio kimbembe lakini kufumania tuu aaah hiyo ishu ndogo,alafu pia inategemea na kabila kuna makabila mengine ni ruksa kuoa mtu na dada yake au na mdogo wake.
 
Mpaka jamaa anatoka nje ya ndoa yake, means something is wrong! na si unajua simba akikosa nyama huwa anakula majani! so ni kweli waangalie shida ni nn wamalize matatizo yao wenyewe na sio kusumbua watu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…