julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Wanaume hawa...........
^^
Sie Wanaume wabaya kweli..
^^
Cha kufanya mwondoshe hapo afu mezea
hawana hata maana, bila wao nafikiri ulimwengu ungekuwa na furaha sana.
Bahati yanguDada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii ambayo inaanzwa na yeye kwenye ndoa yake.Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?
Dada mmoja amemfumania mume wake akifanya mapenzi na mtoto wa kaka yake(kaka wa mke),mke amechanganyikiwa,akaenda kuomba ushauri,akaambiwa ajitahidi atatue hilo tatizo maana,huku kwenye jamii tayari kumejaa matatizo lukuki akiruhusu na hilo la mume wake kuja huku,hana mchango wa kujenga jamii ambayo inaanzwa na yeye kwenye ndoa yake.Hivi mpaka lini wanaume mtasababisha majanga ndani ya familia zenu,kila siku wanawake ni vilio tu?
nashukuru kama umeliona hilo mkuu.Iinakuwa Bahati yangu kasababisha kwanjia moja au ingine huyo binti alalwe na mumewe ...
Lakini si hajambaka?
Nalog off
hawana jema wallahi..........
watoe wap jema??me nawazaga maybe wangepunguzwa nanliyuu zao mana ndo znawatia kiburi na jeur...tungemaliza vilio vyote
^^
Sie Wanaume wabaya kweli..
^^
Mwanamke alikuwa bussy sana for nothing .. Alimsahau mumewe .