Hata kama n la nyas hatuliachWanaume ni sawa na panya. Kila geto anataka liwe lake
Kitambo umuoe huyo mke unajua n wangap amewapaHahaha mkuu utakuwa mvulimivu mkeo akiwa na upendo huo yani agawe kwa vijana 99 mtaani kama ishara ya "upendo"
Akionesha zaid ya mwanaume 1Huo huo unaouita upendo
Mwanamke akionesha kuwa na aina hiyo hiyo ya upendo ataitwa jina baya
hahahaha umeuaHahaha mkuu utakuwa mvulimivu mkeo akiwa na upendo huo yani agawe kwa vijana 99 mtaani kama ishara ya "upendo"
Nakutupa mto wenye mamba wengi
Tamaa na upendo naskia ni mtu na binamu yake.Hivi huo ni upendo au tamaa zinazo ongozwa na msukumo wa kichwa cha chini
muombee tu mpenzi wako aepushwe majaribu manake ni hatarii...
jaman kuna mtu anaitamani ban nyingine ya mwaka huku.
sio ban nimeunga mkono hoja...au huaminijaman kuna mtu anaitamani ban nyingine ya mwaka huku.
lazima uumwe tumbo safari hii jooh.vidonda vimekauka mapema hii..sitaki kuamini
Kweli kabisa aise!!ila kwa fat!!sina uhakika saana na hiyo respect unayoizungumzia maana wanavyonangagwa huku jamvini mpka naogopa