kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,223
- 15,746
Hawa akina mama wanalalamika kuwa hawapati muda wa kupumzika na waume zao kwa sababu wanaume mmekuwa busy kununua magari badala ya kushughulika na mabomba ya maji ,wenzenu wamechoka tafadhali tuchukue majukumu yetu kuwatunza wake zetu ili wasilalamike ,angalia video hapo chini ,tumsifu Yesu Kristu.