Kazi yangu mimi ni ulinzi...kuna mwanaume mwingine kazi yake ni rubani...mwingine ni mbeba zege etc etc...hivi unadhani risk ya hizi kazi ni mchezo? Mtu anakaa angani kwa ajili ya familia yake au anakesha kulinda mali against wahalifu unadhani ni mzaa? Alafu unatuambia kuwa tusiwapige sababu wanatufulia nguo!!!
Wewe ulipaswa kusema kitendo kilichofanywa ni cha kinyama, hapaswi kufanyiwa binadamu yeyote.....sio kwasababu mnatufulia nguo
Kuna mbaba hapa kapiga mkewe nusu kufa kisa tu mkewe kamfatilia mumewe na kumkuta yupo na kidumu. Mkewe akaanza kumshambulia hiko kidumu cha mumewe weeee mwanaume alimtukana tukana mkewe dhalilisha piga piga vua nguo zote mwanamke baki na chupi tu na mbele za watu jamani na ni mkewe wa ndoa.
Wanawake tuna Kazi kubwa kwakweli hebu jaribuni basi. Pamoja na shida ghadhabu mateso kuzaa kwa uchungu kubeba mimba miezi 9 kulala upande upande kufua mikojo kufua mavi usiku kuamka kubadilisha mtoto madaso sijui pampas and all the carings needed for a baby. Hapo bado kukupikia kukufulia kukuandalia nguo navitu fulani fulani vyote hivi mtu unafanyiwa lakini bado. Wanaume mnatakiwa kutubembeleza sanaaaaa kutuangalia kwa jicho la Tatu kutudekeza mnooooooooo kutujali kupita maelezo kutunyenyekea kutusujudu kutuheshimu sana tena sanaaaa mtupakate ikiwezekana mtubebeee Kila mahali na si kutufanyia ndivo sivo. ukiachiwa mtoto mdogo hakika atakufa siku hiohio kama si kumpeleka kwa bibi yake sijui Shangazi yake mamdogo ambae nae ni mwanamke kwanini usimpeleke kwa baba yako babu yako kaka yako mjomba wako????. Pamoja na hayo yooooote mwanaume akukosee bado umbembelezee umnyenyekee ilhali yeye ndo mwenye kosa kisa tu eti ndoa ni uvumilivu na mwanamke anatakiwa kuheshimu mwanaume!!!! Inshallah Umemzalia watoto jamani bado tu uishi roho juu na maisha ya wasiwasi.
Alaaniwe mwanaume anaethubutu kunyanyua kinywa chake kumtusi mkewe. Alaaniwe mwanaume anaethubutu kunyanyua mkono wake kumpiga mkewe na mungu baba akarehemu wanaume wa hivo wasiojua thamani ya mwanamke.
Sisi tungekua naroho ngumu kiasi hiko kuwaua ni dakika sifuri.
acha kufuru dada, sijasema mwanamke, nimesema MKE ni mama wa Mume. mwanamke hawezi kuwa hata na ufanano na mungu wa pili maana mijanamke miteru ipo nayo kama kawaidaMwanamke ni Mungu wa pili kabisa asujudiwe
Namimi ndo point yangu...wewe umeelezea kuwa tusiwapige sababu mnafanya kazi ngumu...namimi nikakwambia kuwa hata sisi tunafanya kazi ngumu tena za hatari zaidi....What if wote na mke ni mfanyakaz na anachangia vilevile kwenye familia!!! Kazi isiwe kigezo eeeee!
Hakuna mwanaume aliye wahi chepuka akamtolea matusi mume wa mke anayechepuka naye!Nanyie wanaume mnaochepuka tulieni kwenye ndoa zenu
Mungu yupi asiyeweza kujitetea? Leta sababu nyingine kwanini msidundwe...sio hiyoMwanamke ni Mungu wa pili kabisa asujudiwe
hahahahahahah yaani weee mchaga nikiona comment yako lazima niisome fasta maana najua hata kama nilikuwa sina hamu ya kucheka lazima nitacheka tuuu (bold + colour) hahahahahahahahahahaha.. mkumbushe majukumu yake muombe pesa uwezavyo kwa upole
ha ahaha wanwake wengine eti wanasusa na kununa wapi .. si nuni na nakuomba pesa vizuri tu na listi ndefu ya haja na nakuvizia mda unapoenda huko najua utatoajibu fasta usipigiwe simu so akienda kwa mchepuko gharama kuja kwenye familia ndiyo balaa lazima akili imkae sawa.. muhimu usisuse muombe pesaaahahahahahahah yaani weee mchaga nikiona comment yako lazima niisome fasta maana najua hata kama nilikuwa sina hamu ya kucheka lazima nitacheka tuuu (bold + colour) hahahahahahahahahahaha
ha ahaha wanwake wengine eti wanasusa na kununa wapi .. si nuni na nakuomba pesa vizuri tu na listi ndefu ya haja na nakuvizia mda unapoenda huko najua utatoajibu fasta usipigiwe simu so akienda kwa mchepuko gharama kuja kwenye familia ndiyo balaa lazima akili imkae sawa.. muhimu usisuse muombe pesaaa
Ukiomba unapewa tu mpka mwsho cjui utaomba nnhahahahahahah (bold)