Mbona nchi nzima tumewekwa kabali na mafisadi!!Eti wanakuwekea games bila ya ridhaa yako kwa shs 500 kama hupendi ndio wewe utume neno UNSUB kwenye namba 15362. Cha ajabu licha ya usumbufu ukituma huo ujumbe message haiendi. Hii ni mara ya pili kwangu kipindi cha wiki mbili. Sasa jamani huu ukoloni na ufisadi wa simu za mkononi tufanyeje wandugu? Simu yako,..licha ya kusumbuliwa kwa simu yako kugeuzwa ubao wa matangazo bila kulipwa chochote pia unanyang'anywa hela yako. Huu kama sio ujambazi ni nini? TCRA tafadhali fanyeni kazi yenu wananchi sasa tumechoka na hii kero.
Mkereketwa pole sana.Huku wajinga ndiyo waliwao..lakini karibu kwny soko huria,makampuni ya simu yapo mengi.Fanya maamuzi tuEti wanakuwekea games bila ya ridhaa yako kwa shs 500 kama hupendi ndio wewe utume neno UNSUB kwenye namba 15362. Cha ajabu licha ya usumbufu ukituma huo ujumbe message haiendi. Hii ni mara ya pili kwangu kipindi cha wiki mbili. Sasa jamani huu ukoloni na ufisadi wa simu za mkononi tufanyeje wandugu? Simu yako,..licha ya kusumbuliwa kwa simu yako kugeuzwa ubao wa matangazo bila kulipwa chochote pia unanyang'anywa hela yako. Huu kama sio ujambazi ni nini? TCRA tafadhali fanyeni kazi yenu wananchi sasa tumechoka na hii kero.
Kusema kweli huu ni wizi dhahili. watanzania tunanyonywa kwa ignorance tu. TCRA TCRA TCRA tuokoeni
Eti wanakuwekea games bila ya ridhaa yako kwa shs 500 kama hupendi ndio wewe utume neno UNSUB kwenye namba 15362. Cha ajabu licha ya usumbufu ukituma huo ujumbe message haiendi. Hii ni mara ya pili kwangu kipindi cha wiki mbili. Sasa jamani huu ukoloni na ufisadi wa simu za mkononi tufanyeje wandugu? Simu yako,..licha ya kusumbuliwa kwa simu yako kugeuzwa ubao wa matangazo bila kulipwa chochote pia unanyang'anywa hela yako. Huu kama sio ujambazi ni nini? TCRA tafadhali fanyeni kazi yenu wananchi sasa tumechoka na hii kero.
Aiseeh. Nashukuru kwa kudhani unaniamsha usingizini. Nina line zaidi ya voda ila hawa voda ndio walaku zaidi. Wanakuibia mchana jua utosini.Mkereketwa pole sana.Huku wajinga ndiyo waliwao..lakini karibu kwny soko huria,makampuni ya simu yapo mengi.Fanya maamuzi tu
Washenzi sana hawa nimewadhurumu mkopo wao wa Mpawa na sina mpango wa kuwalipa laki 5 zao wamenifungia nipige tafu hahaha na siihitaji hata hiyo.