Jamani waliofanya usaili TRA 26.03.2019 wameshaitwa kazini?

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
513
Habari zenu!
Kuna mdau kaomba taarifa tu kama watu waliofanya usaili wa ajira upande wa TRA hadi hatua ya mwisho ambayo ilikuwa kati ya tarehe 25 na 26 Machi 2019 kama majina yalishatoka au laah.

Kwani nae alikuwa miongoni mwao waliofikia hatua hiyo na walisema majibu ni kati ya wiki mbili hadi tatu toka siku ya usaili. Lakini hadi leo kimya zaidi ya wiki ya tano sasa. Mwenye taarifa tunaomba atujuze
Asanteni
 
Back
Top Bottom