Spear JF-Expert Member Joined Jun 21, 2008 Posts 507 Reaction score 32 May 9, 2011 #1 Hii inakuwaje nguo za msimu wa baridi kuvaliwa katika mazingiza ya joto (huyo Binti mwenye kutabasamu)hicho kivazi wazungu huvalia katika mazingira ya ubaridi na sio joto kama la hapa kwetu
Hii inakuwaje nguo za msimu wa baridi kuvaliwa katika mazingiza ya joto (huyo Binti mwenye kutabasamu)hicho kivazi wazungu huvalia katika mazingira ya ubaridi na sio joto kama la hapa kwetu
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 May 9, 2011 #2 we huoni kua ni masharobaro hao huvaa hata koti la leather humuhumu jijin bila hata aibu ya kuangaliwa kisa eti fashion
we huoni kua ni masharobaro hao huvaa hata koti la leather humuhumu jijin bila hata aibu ya kuangaliwa kisa eti fashion