utapitaje mbona hamna njia ?Napita 2
katika ujenzi wa barabara mikoani niliona mmoja akichanganya zege na mwingine akielekeza magari yapite kushoto nikawaza jamani hata kazi hizi kweli tunahitaji wataalamu ?na bado,watakuja mpaka kuwa makonda,wapiga debe wauza genge,chipsi yai,watapisha vyoo,watoa mimba hapo ndio mtamjua mchina nani
Yes na imewamwaga nchi nzima kwenye kila ofisi za star time, wamewapangia nyumba maeneo ya prime areas na kwenye nyumba hizo hujazana kama utitiri, siamini wote wako nchini kwa ajili ya kuuza vingamuzi tuu, lazima wana lao jambo la ziada!.wale wachina ni wafanyakazi wa Startimes ambayo ina ofisi ndani ya jengo moja na TBC..
Kuna picha kwenye magazeti ya leo ikionyesha transfoma ya umeme likiungua TBC na Wachina watatu kwenye ngazi wakijaribu kuuzima kwa fire extinguisher na maelezo 'wafanyakazi wa TBC wakijaribu kuudhibiti moto huo'.Hivi tumefikia hatua ya kuajiri Wachina kufanya kazi kama hizi ? au sasa hatuwezi tena kutumia fire extinguisher kuzima moto ?
wale walikuwa ni wafanyakazi wa night support