Billy philip
Member
- Oct 24, 2019
- 15
- 8
Imebaki moja?[emoji1] [emoji1] eti you are not poor student, pole sana kwa changamoto boss. Jipe moyo naskia imebaki batch 1 kisha itabidi kukata rufaa. Kipindi cha JK mambo hayakuwa complicated kiasi hiki
Yaa bwana mdogo alifika bodi j.3 walisema ikifikia batch 4, wataobaki wata appealImebaki moja?
Shida iko hapa Yani continuous wote hakuna aliyepata loooohWrite your reply...dah kushirikiana na ok l llll imeamuaxxsxs kutunyonga kabisa watoto wa m tuliouzam mmmmashamba mwaaka jana tukajilipia.mk mwaka huu cha ajqbu tanzania nzima ajapata ata continuas mmojakl
ajapata ata mmoja tafsiri yake kuwa wote continuas him watoto wa matajiri jaman kweli hii ll ya wanyomknge au serikali ya wanyongaji badru mungu anakuona machozi yetu utayalipa eli mngetuambia tusijisumbue kuomba ilokm dirisha la apply mtoe tamko continuas wasijisumbue akuna lmaajabu ni bora uhairishe mwakah tu kuliko kuenda kuteseka na miogo wawape mikopo watoto wa ndugu zao pia wawasaidie na kuilipa
wanafungua tarehe 10 .all kissus,
Kwani wameshasema kuhusu ku appeal?
wanafungua tarehe 10 .
Mkuu me nilikosa mkopo last year nikaahurisha hadi this year niaply tena but I'm so sad to say kwamba hadi sasa batch zote tatu zimeniacha.Hadi sasa sijawasili chuoni na nikikosa sitoenda tena.Duuh!!! Mkuu subiri labda unaweza ukapata kwa hiyo batch iliyobaki
Duh sikilizia batch ya 4 si wametoa.Mkuu me nilikosa mkopo last year nikaahurisha hadi this year niaply tena but I'm so sad to say kwamba hadi sasa batch zote tatu zimeniacha.Hadi sasa sijawasili chuoni na nikikosa sitoenda tena.
Mkuu batch 4 wametoa??Duh sikilizia batch ya 4 si wametoa.
WametoaMkuu batch 4 wametoa??
Mbona ukiingia kwenye akaunti hakuna chochote,au kama una PDF tafadhali tusaidie kuiweka hapaWametoa
Bado hiyo batch .mbona bado kwenye account hakuna chochote bado in analysis on progressWrite your reply...mbona atuion hyo batch 4 jaman twadanganywa sio