Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,910
- 28,202
True chiefKati ya vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo makini ukiwa ugenini, ni wanawake.
Angalia usitolewe Kadar huko.
Watu wa mikoani Kila kitu wanasolve kwa violence. Hata wakitaka kukupora simu ya laki, unaweza pigwa na nyundo ya kilo 3 kichwani.True chief
Huku nimeambiwa unatakiwa kuwauliza wenyeji,,,wakusomee ramani ukijifanya kidume umekwishaa
Nadhani ni kutokana na nature ya shughuli zao,,, mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyeweWatu wa mikoani Kila kitu wanasolve kwa violence. Hata wakitaka kukupora simu ya lakini, unaweza pigwa na nyundo ya kilo 3 kichwani.
Maeneo ya huko ni kuwa mpole tu.
Kabisaaa kaka....Wake za watu nao waache kutulegezea
Jino kwa jinoKabisaaa kaka....
Nawaokoa wanaume wenzangu wanaangamiaunahangaika sana na mada za wake za watu wiki hii, kimekukuta nini?
funguka mzee
Je na huyo Mke wa Mtu naye wamemkatisha uhai kwa kusaliti ndoa?Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai wako,,,, jana tu kuna mwamba nasikia wamekatisha uhai wake kisa alitembea na mke wa mtu.
Kumbe kashaleta nyingine......basi huyu ni Mhanga.unahangaika sana na mada za wake za watu wiki hii, kimekukuta nini?
funguka mzee
Hili nalo litazamwe,,, inaonekana Kana kwamba mwanamke hawezi kujisimamia au kufanya maamuzi ya kukataa,,, kwahiyo victim ni mtongozajiJe na huyo Mke wa Mtu naye wamemkatisha uhai kwa kusaliti ndoa?
Hiyo ni jamii ya wapumbavu sama na itaendelea kuwa watumwa wa Mbunye.
I gues ni jamii maskini sana.
Mke akichepuke maana yake fala ni mume wake sio Mchepuko.
Hapana ilikuwa ni Mada ambayo ndani yake kuna kipengele hichoKumbe kashaleta nyingine......basi huyu ni Mhanga.
ππππWatu wa mikoani Kila kitu wanasolve kwa violence. Hata wakitaka kukupora simu ya lakini, unaweza pigwa na nyundo ya kilo 3 kichwani.
Maeneo ya huko ni kuwa mpole tu.
Ni wapi huko ambako wanaume ni wengi kuliko wanawake?Nilichogundua wanawake huku vijijini ni wachache mno hivyo inakuwa ni bidhaa adimu sana
Gardner alipo sasa hivi anawashangaa sana na kusikitika nakujisemea tu laiti mngejua faraja na furaha iliyopo upande wa pili msingesumbuka kuendelea kuwa hai nakuwa mambwiga na mapoyoyo yaliyokubuhu.Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town
Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai wako,,,, jana tu kuna mwamba nasikia wamekatisha uhai wake kisa alitembea na mke wa mtu.
Kuna kisa kimoja nimekipata,,, kuna walimu walikuja field,mmoja akajichanganya kwa mke wa mtu,,, wazee wakamwonya lkn akaleta kiburi,, ilipokuja kamati ya kumsaili akiwa darasani akawa hawaoni wanafunzi ndani ya darasa,ikabidi fomu yake irudi bila kujazwa.
Alipokumbushwa na mwenzake kuhusu kukaidi wazee waliomwonya ndo ikabidi arudi kuomba radhi,,, wazee wakamwambia ''sisi tulishamaliza hilo swala '' haikujulikana mwisho wake imekuwaje.
Lakini adhabu kubwa na ambayo inachukuliwa mara baada ya kutoka na wake za watu ni kuuwawa chap
Nilichogundua wanawake huku vijijini ni wachache mno hivyo inakuwa ni bidhaa adimu sana ambayo kila mwanakijiji anapaswa kuithamini na kuilinda
Tofauti na mijini wapo wengi na mambo ni mengi hivyo inakuwa vigumu kufuatiliana sana,,,lkn vijijini ni tofauti kabisa
Mafundi ujenzi hawa bwana ni wakali wa wake za watu hawaoni shida kuhonga kipato chake cha siku ili mradi atimize lengo lake,,, kuna ambao walikimbia kazi baada ya kupata nyepesi kwamba kuna kamati ndogo imeundwa kwa ajili ya kutoa adhabu ya kifo,,, wanakijiji hawana mambo mengi sijui polisi au kwa mwenyekiti wa mtaa ni kupotezeana mda tu.
Anyways kuna kamadam nimekaelewa nimetuma vijana wangu wakafanyie utafiti kwanza kabla sijatolewa sadaka ugenini,,,,just kidding
Ni hayo tu!