Jamani usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

Jamani usiulize maswali haya kwa mpenzi wako

huo muda wa maswali natoa wapi...ukishaambiwa unapendwa kula starehe...peaneni upendo na raha ..

hayo maswali ukiuliza utapewa majibu mazuri always hta kama lengo ni hit n run

act as unsound kula raha.
 
mimi nauliza una sh ngapi bank lakini siyo baya kumbe nitakuwa nauliza kwa herufi kubwa
Lile swali la "umenipendea nini!?"km umeulizwa mwanamke jibu lake mbona simple! Mwambie ukweli umempendea hela! Huo ndo ukweli,wanawake wa karne hii hawatafuti wanaume wa kupiga nao picha!
 
Lile swali la "umenipendea nini!?"km umeulizwa mwanamke jibu lake mbona simple! Mwambie ukweli umempendea hela! Huo ndo ukweli,wanawake wa karne hii hawatafuti wanaume wa kupiga nao picha!

Wakupigia picha wapo studio
 
Hy maswali utaukiza tu au utaulizwa tu.It is just matter of time ndio wengi tunapotifautiana.Lakin kukutana nayo ni LAZIMA na muda mwingine mmunaweza ukajikuta hata baada ya mahusiano ya muda mrefu sana.then yanajitokeza.LAZIMA huwez kwepa
 
Back
Top Bottom