Jamani ushauri.

Jamani ushauri.

mwanamke asiyemhofu mungu majanga! nakosa niwewe kuzini naye kabla ya ndoa ukiwa na mtu ngoja ndoa ukimzoesha uo ujinga ukawa mbal na hana hofu ya Mungu hayo kawaida but Mungu atakusaidia muambie shda zako atakupa mke mwema ila acha uzinz bfore ndoa
 
Say thnx to GOD kwa kukupa kile ambacho haukukiomba maana ana makusudi yake,kuacha na kuachwa ni kawaida kwny uhusiano don' give a shit bout the time u spent 2getha kwa ss hauna maana wait 4 recovery ndo uingie mpeku kwny uhusiano mpya usikurupuke jipe muda waungwana wanasema "time cn heal everythin' so just give a time enaf time'' pole bro'
M out...!
 
Kasome niliko bold utapata jibu la swali lako,na ututake radhi kabla sijashawishi madada wa jumuia kuanza kukutenga kwenye ibada.

Sijafanya kosa lolote
Wekeni hivyo vikao vyenu halafu tuje tushindane kwa hoja tuone ni nani mwenye makosa!!
 
Tafuta mwingine akikuacha tafuta mwingine akikuacha na huyo tafuta tena usichoke tafuta tu utapata ambaye atokuacha..
 
Kujidai ndio nini?

Mi nimekuambia wekeni hivyo vikao vyenu halafu tutaona nani mwenye makosa kwa hoja

Kwani nini bana?

Afu nina hasira na nyie![/QUOTE]

Haha haaaaaaa!
Na bado
 
Kuna watu mnafahamiana humu. Kuwa ulisoma UDOM, upo Kigoma na kuwa hukuwa na msimamo. Unawajua hawa?

Mkuu, hawezi kukujibu, chuo sio UDOM bali ni chuo kikongwe pale Dom kipo karibu sana na Bunge. Nikweli inauma maana kupotezeana muda huwa noma sana.
 
Mkuu, hawezi kukujibu, chuo sio UDOM bali ni chuo kikongwe pale Dom kipo karibu sana na Bunge. Nikweli inauma maana kupotezeana muda huwa noma sana.
CBE ya DOM kumbe. Achana naye ili maisha yasonge mbele kwani you can not change the world.
 
Mimi ni kijana ambae kwa sasa nina miaka 31, nimekuwa na mpenzi wangu ambae tumekuwa na uhusiano kwa takriban miaka 5. Kwa kuwa nilimtangulia chuo mwaka mmoja tulipanga mpaka apate kazi ndio tufanye taratibu za kuoana. Baada ya kumaliza masomo yake nilijitahid kuhakikisha kwamba anapata kazi katika mkoa ambao mimi nafanya kazi. Bahati nzuri alipata katika shirika moja katika wilaya nyingine ila ndani ya mkoa ule. Kutoka ninapofanyia kazi mimi mpaka kwake ni mwendo wa masaa matatu. Baada ya kufanya kazi kwa mwaka mmoja tukiwa tunatembeleana kila wkend na kila mtu anapopata mda mimi nilipata nafasi ya kwenda kusoma Shahada ya pili. Nilipofika chuoni Dar es salama nilianza kuiona tofauti za mawasiliano,mawasiliano hafifu na msg au Majibu ya mkato. Nilijitahid sana kujikaza kama mwanaume lakini hali iliendelea kuwa tete. Alichokuja kuniambia ni kwamba mimi na yeye basi, iliniuma kwa sababu tayari nilishaanza taratibu za kwenda kujitambulisha Kwao mwezi wa 4 '2013. Suala hilo limenifanya niwaogope wasichana kiasi kwamba kila ninaemuona naona ni wale wale. Najitahid kumuomba mungu lakini mpaka sasa kama binadamu hali hii ya hodí hainiishi na kwa sasa ni dhahiri nahitaji mke.

Usianze kufikiria kuwaumiza dada zetu na wew
 
Back
Top Bottom