Jamani ushauri.

Jamani ushauri.

maumivu ya mapenzi yanatibika kwa mapenzi tu. Na kwasababu moyo wako kakuachia basi jitibu vilivyo
 
we naye miaka5 hujaoa ulikuwa unasubiri nn.hata ningekuwa mm ningekuacha kupotezeana muda tu.
ana akili sana huyo demu kakusoma kuwa hujielewi au huelewi unataka nn.jifunze mahusiano ya muda mrefu kakuchoka.
pole
 
pole kaka yangu. ndo dunia ya mapenz ilivyo, we unalia mwenzio anacheka. nakushaur upge goti kwa mungu ufunge kwa maombi mungu akupe mke mwema. naamin utafanikiwa inshaallah. Mungu we2 hashndwi kitu, ila usizini kaka yangu jichunge
 
Utapona in no time,ila jifunze kusoma dalili next time ili uache wewe kwani maumivu ya kuacha sio makali sana.pole
 
haya mambo inabidi upate experience katika umri wa 22-26 ili mbele usisumbue watu,where were you???
by the way amka kunguta vumbi endelea na safari.no matter waht maisha lazima yaendelee,kuna watu wamepitia/tumepitia situation ngumu zaidi ya hhiyo so mmpotezee fanya replacement ila next time kuwa makini usipende mazima till marriage
 
Eiyer njoo umsaidie huyu kijana.

Sifa moja kubwa ya MWANAUME ni kuwa na moyo na mtazamo wa kiume

Huyu kijana ana matatizo ya kufikiri kike

Wanawake ndio wanaozira na kulialia na sio wanaume

Kijana hebu acha mawazo ya kike hayo

Wanawake wameumbwa wakiwa na matatizo tangu tumboni unadhani utampata ambae sio kichaa?

Hata Mungu anawajua hawa...lol!!
 
Nimewapata wadau. Nashukuru kwa ushauri,na mitazamo tofauti ninayopata toka kwenu.
 
hivi wanawake wakisoma huwa wanabadilika nini hasa?

itafikia kipindi watakua wanatembea huku wana-bounce kisa wamesoma!

dar!

pole mkuu..!

images

leave love live life
 
Sifa moja kubwa ya MWANAUME ni kuwa na moyo na mtazamo wa kiume

Huyu kijana ana matatizo ya kufikiri kike

Wanawake ndio wanaozira na kulialia na sio wanaume

Kijana hebu acha mawazo ya kike hayo

Wanawake wameumbwa wakiwa na matatizo tangu tumboni unadhani utampata ambae sio kichaa?

Hata Mungu anawajua hawa...lol!!

ifikie kipindi wanaume tuwe na misimamo kama ya adolf hitler!

japo mapenzi hayataki hivyo, lakini wadada wa siku hizi,

ukienda slow, wao wanakuwa harsh!

sasa inabidi wanaume tuwe harsh ili wao wawe slow!

mzani hautakiwi kulingana hata kidogo!

and if possible.. '' leave love live life''
 
kuachwa kuachwa ni shughuli,
mwenzako ananenepa wewe unakonda kwa mawazo kwa mawazoooo.
He he nimeukumbuka huu wimbo wa charlz baba,josee mara khalid chokoraa na kalala junior afu video king ni twalib.
Aaaaa wana mmu embu mnisaidie kuniwekea video ya huu wimbo umshindikize ndugu diwan
Hapan chezea kuachwa kabisa.
Ndugu diwan endelea kuwaogopa wanawake na ukithubutu kutafuta mpenzi mwingine utaachwa tena
 
Last edited by a moderator:
Sifa moja kubwa ya MWANAUME ni kuwa na moyo na mtazamo wa kiume

Huyu kijana ana matatizo ya kufikiri kike

Wanawake ndio wanaozira na kulialia na sio wanaume

Kijana hebu acha mawazo ya kike hayo

Wanawake wameumbwa wakiwa na matatizo tangu tumboni unadhani utampata ambae sio kichaa?

Hata Mungu anawajua hawa...lol!!
Halafu baba Paroko!!!
We endelea tu
 
Jaman usichezee kuachwa ckia kwa mwenzako..kaka akunyimae mbaazi kakupunguzia shuz babu eee achana naye!Kuwait mwaminifu kwa mungu utapata wako huyo hakuwa wako.kuwa mvumilivu pia ili upate the right person uckurupuke rafiki hii tasmia ya ndoa ni taaamu sn ukimpata wa ukweli wamawake wengi these days tumedata mbaya mzee.pole sn
 
Thanx, hilo nalitambua best.
 
ahabhhahha kubwagwa kunauma acha tuu...unaweza mwagia demu tindikali. pole bwana ila kaa ukijua moja...wa kwako ukiwa nae akiwa mbali mali ya kila mwanaume hiyo.
 
Hapan chezea kuachwa kabisa.
Ndugu diwan endelea kuwaogopa wanawake na ukithubutu kutafuta mpenzi mwingine utaachwa tena

Hahahaha Ennie am not scared of that. Ndio changamoto zenyewe na Maisha lazima yasonge dadangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha Ennie am not scared of that. Ndio changamoto zenyewe na Maisha lazima yasonge dadangu.

Now you are talking.
Utaacha na kuachwa sana tu mpaka umpate wa kusonga nae.
Good Luck.
 
Nimewapata wadau. Nashukuru kwa ushauri,na mitazamo tofauti ninayopata toka kwenu.
Kuna watu mnafahamiana humu. Kuwa ulisoma UDOM, upo Kigoma na kuwa hukuwa na msimamo. Unawajua hawa?
 
[/B]

Now you are talking.
Utaacha na kuachwa sana tu mpaka umpate wa kusonga nae.
Good Luck.

Hahaha, u knw nilijua nishapita hii stage, naona as f ni ngumu což nina experience nayo.
 
Back
Top Bottom