jamani nipe ushauri, mamkwa kila wakati anachukua fedha kw mke wangu, nae mke wangu hanambiii kama kampa mama yake fedha ni hadi hapo tukifanya balance nakuta upungufu ndo wife wangu husema hoo mama atarudisha lakini wapi,
sasa majuzi nilimpasulia live mamkwe kwa ukali sitaki aje kwangu.
na mume wa mamkwe ni mhasibu ktk BANK[/QUOTE]
So what?
mmh! au unataka ajira kwa bank anayofanyia mume wa mkweo??jamani nipe ushauri, mamkwa kila wakati anachukua fedha kw mke wangu, nae mke wangu hanambiii kama kampa mama yake fedha ni hadi hapo tukifanya balance nakuta upungufu ndo wife wangu husema hoo mama atarudisha lakini wapi,sasa majuzi nilimpasulia live mamkwe kwa ukali sitaki aje kwangu.na mume wa mamkwe ni mhasibu ktk BANK
muombe penzi mamkwe wako.
mbona umeguna kwa herufi ndogo? we hela za mkwewe anazipenda,sasa kwanini na yeye asiombwe?duh....!!!!!!!!!
mbona umeguna kwa herufi ndogo? we hela za mkwewe anazipenda,sasa kwanini na yeye asiombwe?
kuna nini tena,ukitaka kula lazima uliwe.kwa hiyo ndo umemshauri afanye kwa herufi kubwa? lol
kuna nini tena,ukitaka kula lazima uliwe.
ni kitu gani unachoweza kukila bila na wewe kuliwa?tehe..
Sio kwa vyote banaa, vingine inabidi ulee tuuu
ni kitu gani unachoweza kukila bila na wewe kuliwa?
namaanisha chochote kile. Mfano mie nakutaka ili uwe my wife wangu ni lazima kwanza unichune halafu ndio unipe tunda?vingi sana mbona?
Au labda sijakuelewa wamaanisha nini. lol