Poleni sana, halafu wapweke pia hupoteza uhai mapema zaidi ukilinganisha na wale ambao si wapweke. Jitahidi uondokane nao.
Ndio Hivyo Tu
Thank, but ni tatizo nililo nalo toka udogo kiukweli unumiza sana, yaan sijua moyo unakuwakuwaje!
Dunia ina watu zaidi ya Billion 1,, nakushangaa sana unalalamika upweke.. Jichanganye na watu acha maisha ya kubagua watu. Kila binadamu ana utamu wake. Jaribu ujionee... Ongea na kila mtu.
Hapo ulipo kwani hakuna binadamu wenzako? Au unaishi porini?Ndio Hivyo Tu