Jamani uko wapi utabili wa shekhe yahya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani uko wapi utabili wa shekhe yahya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bojuka, Nov 3, 2010.

 1. b

  bojuka Senior Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisikia kuwa baada ya uchaguzi kuna mgombea urais atakufa
  waandishi wa habari wathibitisha haya . Kama sio kutisha watu wasigombee ni nini?
   
 2. E

  Epifania Senior Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afe yeye sasa
   
 3. Bob_Dash

  Bob_Dash Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yule mzee Kichaa yule, nadhani amekosa pesa ya kulipa MAJINI YAKE sasa yametia mgomo, ndo maana anabaki ku bwabwaja tu pumba.
   
Loading...